min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Sio hawatajiriki tu kiufupi hata basic needs ni changamoto kwao.Walokole wanao muomba huyo Yesu kila kukicha mbona hawatajiriki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio hawatajiriki tu kiufupi hata basic needs ni changamoto kwao.Walokole wanao muomba huyo Yesu kila kukicha mbona hawatajiriki?
Kusubiri nini?Watatajirika waendelee kusubiri
Walokole wengi ni makapuku, makabwela, mafukara, Apeche Alolo, Hohehae, Pangu pakavu tia mchuzi.Sio hawatajiriki tu kiufupi hata basic needs ni changamoto kwao.
Utajuaje kama amepita kwa Rasi SimbaKiingereza Cha nn mkuu
Kw siku mtu anakesha siku 4 mpka tano kanisani ataacha vip kuwa pangu pakavu tia mchuzi😁😁😁Walokole wengi ni makapuku, makabwela, mafukara, Apeche Alolo, Hohehae, Pangu pakavu tia mchuzi.
Waniulize Mimi,nimewahi kuishi kwenye utajiri wa nguvu za kishirikina na Nina Wajua watu wangu wa karibu ambao wanaishi na utajiri huo!Mtu anasema Sema tu kwakua labda anataka kupata njia ya kwenda huko kutoka kwa wadau😀
Elimu yako imekulimit kwenye kipengele Cha hallucination Kuna vitu vingine ni beyond hallucination ndio maana Kuna watu wanaona matukio flan kabla hayajatokea. Kuna brain alaf Kuna spirit Kila kimoja kinafanya kazi tofauti.Ubongo wa binadamu huwa unaweza kufanya hallucinations katika mazingira fulani ikiwemo unapokuwa na njaa iliyopitiliza, uchovu uliopitiliza, ukitumia dawa za kulevya, ukifungiwa mwenyewe mahali muda mrefu, magic tricks au matatizo ya ubongo. Watu wanapouliza wanataka kufahamu ulikuwa na utimamu kiasi gani ili waweze kuipa uzito stahili story yako.
USILOLIJUA NI SAWA NA KIZA KINENE !Mojawapo ya story huwa nazisikia sana na mtu kuwatoa watoto wake au ndugu zake kafara ili afanikiwe katika biashara au siasa. Utoaji kafara huwa unaelezewa kwa mtu huyo aliyoetolewa kafara kufariki kwa kinachodhaniwa kifo cha utata au kupatawa matatizo ya akili(kichaa).
Unaweza kuonyeshwa kichaa fulani ukaambiwa huu ni mtambo wa kutengeneza pesa wa tajiri fulani au ndio chanzo cha mafanikio cha mwanasiasa fulani.
Unajuaje au unathibitishaje kwamba fulani amefanikiwa kwa sababu ya kafara ya mtoto, mzazi, mke au ndugu yake?
Yaani umeona ee!Usiombe ufanikiwe kibiashara halafu bahati mbaya upate mtoto ana mtindio wa ubogo au ulemavu.
Wewe tayari jamii itasema umemfanya msukule.
Ukifa utathibitisha mwenyewe kama huo ufalme upo au haupo. Kuna vitu vingine kuvijadili ni kupoteza mudaUfalme wa mbinguni haupo.
Habari za ufalme wa mbinguni ni habari za kuwafariji maskini na umaskini wao.
Heaven is the promise for the poor so that they don't demand happiness on earth.
A poor man who has Jesus is richer than the rich man without Jesus. Hivi ndivyo maskini wanafarijiwa na umaskini wao kupitia imani za kidini.
Yani watu maskini choka mbaya wanafarijiwa kwamba watamiliki utajiri wa kutosha mbinguni, Hivyo wasijihangaishe sana kuwekeza duniani.
Ila najiuliza swali Moja kwanini watu wengi ambao inasemekana wana utajiri wa kichawi, hawana utajiri mkubwa wa kumfikia bakhresa, mo dewji au hata Reginald Mengi 🤔 wengi utakuta Wana vighorofa viwili mjini, ndo utajiri wa kichawi huo ephen_Siwezi kupoteza muda kukujibu hayo maswali yako sababu mimi na wewe tayari tunaamini vitu viwili tofauti.
Ningekujibu kama ungekua unataka kueleweshwa na sio kushindana
Ni Ubinafsi na ukatili wa hali ya JuuIla mkuu kwa nini utajirike mwenyewe halafu ndugu zako wengine ni masikini na wanakufa vifo tata ? Halafu wakifa au wakichanganyiwa ndio utajiri wako unazidi kuongezeka
Nakazia🛠I did it and I made it .
Huwa nashangaa MTU anapokubali kuwa masikini while kuna njia nyingi za kufanikiwa.
Altar
Sacrifice
Is real .
Majengo yote marefu yamejengwa na damu za WATU .
Kinachowakwamisha WATU ni ile kutoelewa code
Mimi namjua mmoja alikua rafiki wa mama yangu utajiri wake ni wa kutumia nyota za wafanyakazi wake
Ila ilipofika mwaka 2018 ikabidi amtoe mtoto wake na akafanya hivyo
Ashawahi kumshawishi mama yangu ajiunge huko mama akakimbia nduki na urafiki ukaisha.
Alikuja dar kama housegirl kutoka Upareni ila sasa hivi ni tajiri.
Naomba umpinge na ephen.Kwa hiyo kila mwenye matatizo ya akili ni chambo? Wewe ulijuaje?
Ukimpinga wewe inatosha mkuu.Naomba umpinge na ephen.
Watu weusi hawana roho ngumu kuliko hao waarabu na wahindiIla najiuliza swali Moja kwanini watu wengi ambao inasemekana wana utajiri wa kichawi, hawana utajiri mkubwa wa kumfikia bakhresa, mo dewji au hata Reginald Mengi 🤔 wengi utakuta Wana vighorofa viwili mjini, ndo utajiri wa kichawi huo ephen_
😀Ndugu yangu haya mabo yapo omba Mungu akuhepushilie mbali unaweza kutolewa kafara wewe..