Nyota ni nini?
Ulijuaje na ulithibitisha vipi huo utajiri wa huyo mama ulipatikana kwa nyota za wafanyakazi wenzake?
Na ni kivipi?
Alimtoa mtoto wake kwa nani?
Na huyo mtoto alifariki kwa namna gani?
Je baada ya huyo mtoto kutolewa, utajiri wa huyo mama uliongezeka kwa kiasi gani?
Na je una uthibitisho wa jinsi mali zilivyo ongezeka kabla ya mtoto kutolewa na baada ya mtoto kutolewa?
Tufanye ulinganisho wa mali kabla ya mtoto kutolewa na baada ya mtoto kutolewa.
Ajiunge huko wapi?
Sehemu gani?
Kwa nani?
Huko kwa kujiunga, Huyo anayeunga watu kwenye huo utajiri, Yeye ana utajiri wa namna gani?
Au ni mtu tu amekaa kwenye kibanda cha nyasi anawalaghai anaweza kuwapa utajiri?