Unawafahamu watu waliofanikiwa kwa kuwatoa kafara watu wao wa karibu?

Unawafahamu watu waliofanikiwa kwa kuwatoa kafara watu wao wa karibu?

Ilibidi kufahamu kama kijana wake hakuwa na ugonjwa au tatizo lolote ambapo asingekuwa na muda mrefu wa kuishi na mganga akapitia humo, ilibidi kufahamu kama huyo kijana hakuja likizo au haketembelewa huko Canada halafu akapewa kitu kutoka kwa mganga ambacho kingeweza kuwa sumu, mambo yanaweza kuwa mengi.
Unajua mambo haya yapo na uchawi upo nyie mnaokaza mafuvu siku yenu ikifika mtaamini tu.
 
Labda alikuwa anapendelea baiskeli ili afanye mazoezi au kuficha mambo yake kwa watoza ushuru wasimsonge songe au anabeba muzigo ya bangi n.k
Sioni uhusiano wa moja kwa moja wa huyo tajiri aliyeamua kutumia baiskeli na uchawi.
Inaweza ikawa, ila yule tajiri anastaajabisha sana
 
Kiungo kinakua kinasaidia nini pale kuhusiana na hiyo mizimu?
Kwa kweli sifahamu. Ila kuna daraja lilikuwa korofi sana, kila wamarekani wakijenga, asubuhi wanakuta limebomoka.
Walifanikiwa baada ya kuchimbia moyo wa kijana mmoja karibu nalo, wakajenga jiwe la msingi.
Mwili wa kijana uliokotwa na jeraha, askari wakasema ndg wazike.
Baadaye michepuko wa wale wamarekani wakaelezea hiyo habari
 
Labda ndugu zake waliwahi kwenda naye machinjioni milio ya ng'ombe ikakaa zaidi kichwani kwake.
Inawezekana anafanya kazi chafu pia kama za dawa za kulevya, utakatishaji fedha za wakubwa, magendo ya madini n.k Kwa nini ukimbilie moja kwa moja kuhisi ni ushirikina bila kufikiria haya mengine?
Sasa kama anafanya utakatishaji wa fedha za wakubwa kuna haja gani ya kujitesa kutumia baiskeli kupitisha magendo wakati ana mkono mrefu? Kwanini asitumie hiyo Hilux yake?

Mtu mwenye mtaji na biashara hatua ya kufikia kununua hilux na kufanya mambo mengine makubwa anawezaje kusafirisha bidhaa hizo kwa baiskeli?

Mtu hutafuta pesa ili aondokane na shida za hapa na pale na afurahie maisha ya kuwa na pesa.
Sasa kama una pesa halafu bado wajitesa, nini maana ya kuwa na pesa.
 
Yeye labda kuendesha baiskeli sio shida kwake, ni kitu anachokipenda au anabana pesa ya mafuta au inamfanya aoenekane mtu wa kawaida wa watu na inamwezesha kupata dili fulani kirahisi kutoka watu wa kawaida
 
Ilibidi kufahamu kama kijana wake hakuwa na ugonjwa au tatizo lolote ambapo asingekuwa na muda mrefu wa kuishi na mganga akapitia humo, ilibidi kufahamu kama huyo kijana hakuja likizo au haketembelewa huko Canada halafu akapewa kitu kutoka kwa mganga ambacho kingeweza kuwa sumu, mambo yanaweza kuwa mengi.
Ugonjwa unatengenezwa, iwe kifafa, presha kali, n.k; na vipimo vya mzungu vitasema marehemu alikuwa na ugonjwa fulani.
 
Na mbona wanasema ni vigumu tajiri kuona ufalme wa mbinguni
Ufalme wa mbinguni haupo.

Habari za ufalme wa mbinguni ni habari za kuwafariji maskini na umaskini wao.

Heaven is the promise for the poor so that they don't demand happiness on earth.

A poor man who has Jesus is richer than the rich man without Jesus. Hivi ndivyo maskini wanafarijiwa na umaskini wao kupitia imani za kidini.

Yani watu maskini choka mbaya wanafarijiwa kwamba watamiliki utajiri wa kutosha mbinguni, Hivyo wasijihangaishe sana kuwekeza duniani.
 
Back
Top Bottom