Unawafahamu watu waliofanikiwa kwa kuwatoa kafara watu wao wa karibu?

Watatajirika waendelee kusubiri
Kusubiri nini?

Kusubiri hadi lini?

Huyo Yesu hajui wajibu wake kwamba anapaswa kuwapa watu utajiri bila wao kuhangaika kumuomba kila siku?

Au huyo Yesu ni msahaulifu sana hadi akumbushwe kwa kuombwa?

Kuna walokole wamemuomba huyo Yesu miaka nenda rudi na hakuna chochote walichopata wakafa maskini na ukapuku wao.
 
Mtu anasema Sema tu kwakua labda anataka kupata njia ya kwenda huko kutoka kwa wadau😀
Waniulize Mimi,nimewahi kuishi kwenye utajiri wa nguvu za kishirikina na Nina Wajua watu wangu wa karibu ambao wanaishi na utajiri huo!

Lakini pia,binafsi hadi hivi Sasa Nina Wajua watu wawili (wataalamu) ambao wanatoa utajiri wa nguvu za Giza,mmoja yupo Zanzibar na Mwingine yupo Malawi!

Mkuu maisha yangu ni simulizi tosha,sema kwasababu ya wapumbavu wa hapa JF huwa naamua tu kukaa kimya maana ukibishana na mjinga yawezekana ukawa mjinga zaidi yake!

Nimewahi hadi kulala na maiti hapo Malawi ili nifanikiwe na nilifanikiwa sema ndo hivyo maisha yangu yote ya mafanikio wanawake ndo huwa kikwazo kwangu !

Mtu anakuja hapa anabisha hata hajawahi Kutembea popote zaidi ya kutoka Mbeya kuja Dar au kutoka Dar kwenda Arusha !

Sihitaji kuuliza Kwa mtu Mimi mwenyewe ndiye ushuhuda !

Kama watabisha ngoja waendelee kubisha but for now Sina muda wa kubishana na Abharisya!
 
Elimu yako imekulimit kwenye kipengele Cha hallucination Kuna vitu vingine ni beyond hallucination ndio maana Kuna watu wanaona matukio flan kabla hayajatokea. Kuna brain alaf Kuna spirit Kila kimoja kinafanya kazi tofauti.
 
USILOLIJUA NI SAWA NA KIZA KINENE !
 
Ukifa utathibitisha mwenyewe kama huo ufalme upo au haupo. Kuna vitu vingine kuvijadili ni kupoteza muda
 
Siwezi kupoteza muda kukujibu hayo maswali yako sababu mimi na wewe tayari tunaamini vitu viwili tofauti.

Ningekujibu kama ungekua unataka kueleweshwa na sio kushindana
Ila najiuliza swali Moja kwanini watu wengi ambao inasemekana wana utajiri wa kichawi, hawana utajiri mkubwa wa kumfikia bakhresa, mo dewji au hata Reginald Mengi 🤔 wengi utakuta Wana vighorofa viwili mjini, ndo utajiri wa kichawi huo ephen_
 

Kwa hiyo kila mwenye matatizo ya akili ni chambo? Wewe ulijuaje?
Naomba umpinge na ephen.
 
Ila najiuliza swali Moja kwanini watu wengi ambao inasemekana wana utajiri wa kichawi, hawana utajiri mkubwa wa kumfikia bakhresa, mo dewji au hata Reginald Mengi 🤔 wengi utakuta Wana vighorofa viwili mjini, ndo utajiri wa kichawi huo ephen_
Watu weusi hawana roho ngumu kuliko hao waarabu na wahindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…