Na je huyo mtu anayetolewa kafara roho yake huenda pale ambapo mtu akifa kawaida inakwenda au inakuaje?Watakuambia binadamu ana thamani zaidi kwa hiyo utajiri utakuwa mkubwa zaidi, lakini pia hata wanyama huwa wanatumika.
Kama ni kweli basi ulipolala na maiti uliongeza kiwango cha ujasiri kilichokusaidia katika mambo mengine, Hofu huwa ni mojawapo ya kikwazo kikubwa sana katika kufanikiwa.Waniulize Mimi,nimewahi kuishi kwenye utajiri wa nguvu za kishirikina na Nina Wajua watu wangu wa karibu ambao wanaishi na utajiri huo!
Lakini pia,binafsi hadi hivi Sasa Nina Wajua watu wawili (wataalamu) ambao wanatoa utajiri wa nguvu za Giza,mmoja yupo Zanzibar na Mwingine yupo Malawi!
Mkuu maisha yangu ni simulizi tosha,sema kwasababu ya wapumbavu wa hapa JF huwa naamua tu kukaa kimya maana ukibishana na mjinga yawezekana ukawa mjinga zaidi yake!
Nimewahi hadi kulala na maiti hapo Malawi ili nifanikiwe na nilifanikiwa sema ndo hivyo maisha yangu yote ya mafanikio wanawake ndo huwa kikwazo kwangu !
Mtu anakuja hapa anabisha hata hajawahi Kutembea popote zaidi ya kutoka Mbeya kuja Dar au kutoka Dar kwenda Arusha !
Sihitaji kuuliza Kwa mtu Mimi mwenyewe ndiye ushuhuda !
Kama watabisha ngoja waendelee kubisha but for now Sina muda wa kubishana na Abharisya!
Au labda utajiri wa Mo Dewji, Bakhresa na Dangote ni wa kafara pia.Hapo ndio utajua kwamba hakuna utajiri wa kishetani.
Maana watu wanaodai kuna utajiri wa kishetani ukiangalia huo utajiri wao bado ni wa kiwango cha chini sana.
Hawamfikii hata Mo Dewji, Bakhressa au Dangote.
Kama mtu anadai kuna utajiri wa kishetani, Kwa nini asiutumie kwa nguvu zake zote awazidi matajiri wakubwa duniani kama Elon musk, Jeff Bezos, Billgates, Warren Buffett na wengineo?
Utakuta mtu anadai kuna utajiri wa kishetani lakini maisha yake ni ya kimaskini halafu anakomaa tu kuna utajiri wa kishetani!!!
Kuutumia atajirike, hataki.
Unajua hawa waafrika hasa watanzania maskini wana mentality za kijinga sana.
Kafara zipi? Za aina gani?Au labda utajiri wa Mo Dewji, Bakhresa na Dangote ni wa kafara pia.
Wazazi wao walikuwa matajiri wakubwa tangu mwanzoni.Wamewezaje kuwa matajiri hivyo katika nchi masikini?!
Sio kila anayemuomba Yesu anamuomba utajiri,ila ukisimama vizuri ukamuomba atakupa,but masharti na vigezo kuzingatiwa,unataka utajiri wa nini,ili ufanyie nini,na akisha kupa mpango wake wa kumtumikia utaendelea au ndio itakuwa mwisho,ukumbuke mpk anajua huyu ukimpa atakuwa mbaya au mzuri kwa watu n.k. kwahiyo humpa amtakaye...Mbona wengi wanamuomba na wanafanya kazi kwa bidii na uaminifu sana ila bado wanakufa wakiwa masikini??
Una uhakika ulikuwa macho...maana kuna wakati huwa tunajikuta tumepiliza vituo vya mabasi wakati makondakta waliuliza Nani anateremka na tulikuwa machoKutafuta Uthibitisho Katika Inshu Za Mambo Ya Kiroho Inahitaji Juhudi.Kwa Mfano Mtu Anaweza Akawa Mchawi na Ni Kweli Mchawi Kweli Kweli Lakini Hauwezi Kuthibitisha Kirahisi.Mambo Ya Kiroho Ni Mambo Ya Sirini.
Kuna Siku Kwa Macho Yangu Naked Kabisa Nlishuhudia Mchawi Namuangalia Ananiangalia.Mwaka 2013 Hiyo Magomeni
Zile zilizofungwa na UCHAWI? ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHivi zile mali zilizoachwa na wajerumani zipo kweli? Au niache tu kuzitafuta ๐น
Ndio mkuu nazitafuta, unajua mahali zilipo ๐นZile zilizofungwa na UCHAWI? ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Una ambiwa na nani?Kuna nyumba ya tajili niliingia, sebuleni hakuna makochi wala viti ni mikeka tu, unaambiwa hatoi pesa mchana, mpaka usiku, na anatoa pesa kwa kutumia mkono wa kushoto....Sijajua kama yeye alitoa kafala au masharti ya mganga wake.
Back in the days, Europeans came to your continent, enslaved, whipped and hanged many of your forefathers and your voodoo did them nothing. Why didn't you put hex (magical spell) on them and their entire generation??Uchawi/viini macho sidhani kama huwa vinaacha ushahidi anuai wa kutolea vielelezo vya kufanyika.Those people are too clever & trickier to ones mind,hence playing a fool!
Mzazi mwenzangu, mambo??Ndio mkuu nazitafuta, unajua mahali zilipo ๐น
mtegemea cha ndugu hufa maskini,....NAWATOA KAFARA MKUU๐๐๐คฃIla mkuu kwa nini utajirike mwenyewe halafu ndugu zako wengine ni masikini na wanakufa vifo tata ? Halafu wakifa au wakichanganyiwa ndio utajiri wako unazidi kuongezeka
Wanasema uchawi wa mzungu ni mkali zaidi, Wao wamefikia Kiwango cha Freemason wanaotoa kafara kwenye level za kimataifa!Back in the days, Europeans came to your continent, enslaved, whipped and hanged many of your forefathers and your voodoo did them nothing. Why did you put hex (magical spell) on them and their entire generation??
Only a poor-minded can buy this.Wanasema uchawi wa mzungu ni mkali zaidi!
tumeisubiri sana hiyo siku mkuu,...naona imekuwa kama kurudi kwa masihi,...maana mpaka tumeanza kuzeeka tukisubiri,...๐ฅฒ๐๐Unajua mambo haya yapo na uchawi upo nyie mnaokaza mafuvu siku yenu ikifika mtaamini tu.
Safi, tuma ada ya mtoto ๐นMzazi mwenzangu, mambo??
Nimeku miss mpaka ninachanganyikiwa.Safi, tuma ada ya mtoto ๐น