Unawafahamu watu waliofanikiwa kwa kuwatoa kafara watu wao wa karibu?

Amini unavyo amini.
 
Au mzazi afe halafu baada ya mda kidogo umefanya jambo ambalo hapo mtaani kwenu watu wanaona ni ngumu kulifanya la kimaendeleo

Ukiwa tajiri Africa hakikisha ndugu zako, HAWAUMWI, HAWAFI, pia WANAFANIKIWA,....vinginevyo utaambiwa UNAWAROGA, UNAWATOA KAFARA na KUWAIBIA NYOTA,....shity mindset 🚮🚮🚮
Kabisa.. Vinginevyo utabeba lawama zote...
 
Uchawi/viini macho sidhani kama huwa vinaacha ushahidi anuai wa kutolea vielelezo vya kufanyika.Those people are too clever & trickier to ones mind,hence playing a fool!
Kwa hiyo viashiria huwa nini kwamba huyu aliyefariki, aliyepatwa na matatizo ya akili ukubwani au aliyezaliwa nayo wametolewa kafara na sio matatizo ya kawaida tu?
 
Lisemwalo lipo!
 
Sio kila lisemwalo lipo watu wanaweza kusema uongo na uzushi tu , ukweli unahitaji uthibitisho.
Kutafuta Uthibitisho Katika Inshu Za Mambo Ya Kiroho Inahitaji Juhudi.Kwa Mfano Mtu Anaweza Akawa Mchawi na Ni Kweli Mchawi Kweli Kweli Lakini Hauwezi Kuthibitisha Kirahisi.Mambo Ya Kiroho Ni Mambo Ya Sirini.
Kuna Siku Kwa Macho Yangu Naked Kabisa Nlishuhudia Mchawi Namuangalia Ananiangalia.Mwaka 2013 Hiyo Magomeni
 
Wafanyakazi ambao nyota zao zinatumiwa na huyo mama wanakuaje?
Mtoto wake alifariki au alipatwa na ukichaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…