Acha ngonjera umesoma biology kweli au story za vilinge?HIvi unajua kwanza staili ya kinyonga kuzaa ?
Kinyonga ili azae inabidi yeye kama mama afe/apoteze maisha, na ni lazima siyo hiari.
Kinyonga akiona siku za kuzaa zimefika, anapanda juu ya mti mrefu, anajirusha chini kwa nguvu anapasuka alafu ndiyo watoto wanatoka.
Hivyo ili kinyonga azae inabidi afe mama ndo watoto watoke
Kinyonga ni jamii ya reptilia kundi lao kubwa hutaga mayai
Wachache ndio huzaa na hio kupasuka haina ushahidi wowote