Unawajua Wanyama wasiolea watoto wao

Acha ngonjera umesoma biology kweli au story za vilinge?
Kinyonga ni jamii ya reptilia kundi lao kubwa hutaga mayai
Wachache ndio huzaa na hio kupasuka haina ushahidi wowote
 
Acha ngonjera umesoma biology kweli au story za vilinge?
Kinyonga ni jamii ya reptilia kundi lao kubwa hutaga mayai
Wachache ndio huzaa na hio kupasuka haina ushahidi wowote
Huwa hawapasuki hizo ni story za vijiweni, huwa wanaanguka bahati mbaya kutokana na kuzidiwa uzito wakati wa ujauzito, maana hupenda kukaa mwisho wa matawi ambayo kwa kawaida ni mepesi
 
Sio kweli hili tumedanganywa toka zamani ukweli ni kwamba hafi
 
Acha ngonjera umesoma biology kweli au story za vilinge?
Kinyonga ni jamii ya reptilia kundi lao kubwa hutaga mayai
Wachache ndio huzaa na hio kupasuka haina ushahidi wowote
Akaangalie hata video YouTube aone kinyonga anazaa na mtoto anaangukia kwenye majani yeye mzima kabisa anaondoka zake
 
Huwa hawapasuki hizo ni story za vijiweni, huwa wanaanguka bahati mbaya kutokana na kuzidiwa uzito wakati wa ujauzito, maana hupenda kukaa mwisho wa matawi ambayo kwa kawaida ni mepesi
Kweli kabisa tanzania kuna vistory uchwala vipo kitaa watu wanaeneza bila utafiti
Mara sijui ukivaa nguo nyekundu radi linakupiga kwa staili hio timu km livapool,simba wasingekuwa wanacheza kipindi cha mvuq
 
Ingekuwa inawezekana kinyonga kukata rufaa angekata kwa Muumba awe tasa asizae mazima

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Nyani na buibui hawapendi ujinga kabisa
Sijui ni nyani gani ambao amewazungumzia hapa. Nyani ninaowafahamu huwa hakai sentimita 10 mbali na mtoto wake.

Wapo very protective na watoto wao na huwa muda wote akiwa anakula, amelala, amepumzika huwa anashikana na mtoto wake.
 
Story tu hizo, anazaa vizuri tu na mtoto anatoka kama wanyama wengine wanaozaa. Nionyeshe video za kinyonga anayezaa na kufa nikuonyeshe video za kinyonga anazaa fresh tu na kusepa.
 
Punda ukimtenganisha na mtoto wake anasusa hafanyi kazi.

Na ukitaka uone balaa lake mkamate mtoto wake mbele yake, akikufikia anakuuma vizuri tu na yale meno yake ya kukatia nyasi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pamoja na mateke anakutwanga
 
Kweli kabisa tanzania kuna vistory uchwala vipo kitaa watu wanaeneza bila utafiti
Mara sijui ukivaa nguo nyekundu radi linakupiga kwa staili hio timu km livapool,simba wasingekuwa wanacheza kipindi cha mvuq
Kuna mzee alikuwa analeta story kuhusu nyoka wa kijani. Madogo wakampeleka YouTube kumuonyesha kile anachosema kuwa kinatokea na kuona kwa ushahidi wa video. Mzee aliona aibu. Vizee vya zamani kwa fix. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwenye list yako weka Kenge, Mamba, Kasa, samaki asimilia kubwa hawakai na vichanga vyao, chura, na Wanaume wenye ndoa zao wanaozaa na wanawake ambao hawataishi nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…