HIvi unajua kwanza staili ya kinyonga kuzaa ?
Kinyonga ili azae inabidi yeye kama mama afe/apoteze maisha, na ni lazima siyo hiari.
Kinyonga akiona siku za kuzaa zimefika, anapanda juu ya mti mrefu, anajirusha chini kwa nguvu anapasuka alafu ndiyo watoto wanatoka.
Hivyo ili kinyonga azae inabidi afe mama ndo watoto watoke
Huu uongo ni maarufu sana mitaani na wengi wanauamini sababu tu jamii yetu haipendi kusomaAcha ngonjera umesoma biology kweli au story za vilinge?
Kinyonga ni jamii ya reptilia kundi lao kubwa hutaga mayai
Wachache ndio huzaa na hio kupasuka haina ushahidi wowote
Sipendi huyo kiumbe yaaniKenge ndo anaongoza kupenda kulea watoto wake hadi wanapokua hadi kujitegemea bado anang'ang'ania tu kuendelea kulea.
miviga
Wanaume wa kitanzania mule muleKuna binadamu nao ni kama mjusi au nyoka
Hahaha ,Punda ukimtenganisha na mtoto wake anasusa hafanyi kazi.
Na ukitaka uone balaa lake mkamate mtoto wake mbele yake, akikufikia anakuuma vizuri tu na yale meno yake ya kukatia nyasi.
ndege JOHNWajumlishe apo na vijana wa kiume wa 2000 wanawazalisha wenzao wa kike pia hawalei wanasepa na viduku vyao, kama ndege John.
Punda na Panda ni wanyama wawili tofautiKwenye Punda ni uongo.
Jaribu kumtenganisha na mwanaye uone mtiti wake
Simba hunifurahisha sana jinsi wanajali watoto wao, hasa watoto wale wenye afya. Huhangaika nao sana mpaka wafikie umri wa kujitegemea.Kuna nyoka, mjusi, kinyonga hawa wakishazaa au kutaga mayai hao wanaondoka hawana Tena time na watoto wao. Sungura na panda wao watakaa kidogo na watoto labda week then wanawaacha wajitegemee. Nyani ye akiona mtoto mlegevu mlegevu anamwachia toka juu ya mti. Buibui yeye sometimes sio tu ana mu abandon mtoto ila anaweza akamla kabisa.
Wanaoongoza Kwa ku care ni simba na tembo hawa wanalinda sana watoto zao.
Hata cheetah , na twiga, nawengi wengi tuKuna nyoka, mjusi, kinyonga hawa wakishazaa au kutaga mayai hao wanaondoka hawana Tena time na watoto wao. Sungura na panda wao watakaa kidogo na watoto labda week then wanawaacha wajitegemee. Nyani ye akiona mtoto mlegevu mlegevu anamwachia toka juu ya mti. Buibui yeye sometimes sio tu ana mu abandon mtoto ila anaweza akamla kabisa.
Wanaoongoza Kwa ku care ni simba na tembo hawa wanalinda sana watoto zao.
Cc johnthebaptistI said panda 🐼
Asee,, hahaha.
Atakushughulikiaje?
Nliendaga kupigaga mishe fulani mitaa ya ruvu ndani huko,kulikuwa na ka zoo fulani cha mtuPunda unamwibia mtoto kwa mbele sio kwa nyumba.
Panda wanapatikana CHINA PEKE YAKE.Hawapo
Nadhani Hawapo africa.. Sana nchi zenye barafu na uchina huko wapo sana tu google mkuu mbona maarufu sana China ni kama symbol yao