Unawajua watu weusi (waafrica) ndani ya bible?


Nini kinakufanya uogope kujibu hizo maswali zilizoenda shule?

Rudi hapa na jibu maswali bana. Huwezi kukimbia. Hizi maswali zimekukamata pabaya. Usiogope kukosa sadaka.

Link https://www.jamiiforums.com/jamii-i...i-waafrica-ndani-ya-bible-8.html#post12844991
 

Hii longo longo yako peleka kwa misukule ya Paulo.

Unapenda haya mambo Ezekiel 23:20 There she lusted after her lovers, whose genitals were like those of donkeys and whose emission was like that of horses. kwa hiyo si ajabu unataka kuleta kufuru za Paulo kuwa Mungu hakuweza kumuumba Yesu mpaka amfanyie kumtembelea Maria.

Ewe Ishmael unaelewa wazi kuwa Muungu anapoumba hutoa amri tu.

Genesis 1:3 And God said, "Let there be light," and there was light.
 
[videohc5KZ8[/video]
Chimbuko la Uislam
Ili kuweza kufahamu chimbuko halisi la Uislam inafaa kuyafahamu mazingira ya Uarabuni kabla ya Uislam, mtu aliyeitwa Muhammad na historia ya mwanzo ya Uislam. Elimu kale (akiolojia), Kurani na Hadithi vina mengi ya kusimlia ambayo watu wengi wanaweza kuwa hawajui.
Maka kabla ya Muhammad
...Continue Reading
 
Kumbe ayat za Quran ni za misukule. Poleni sana. Pata utamu wa habari HAPA

Kwa nini imani ya Kikristo ni bora zaidi ya Kiislamu?
******************************************************************

1. Utangulizi
...Continue Reading ........ HAPA
 

Allah is a white supremacist; He does not like black faces; He likes white faces

Here are a few verses from the Qur'an which unabashedly declares that black faces are the most despicable to Allah.Disbelievers' faces will be black on the judgment day and they will receive God's penalty...3:106

White faces on the judgment day will receive God's mercy...3:107

Allah will reward the doers of good with paradise and much more, their faces will be radiant‑stained; they will never be humiliated. The unbelievers' faces will be turned dark…10:26‑27

Commenting on the above verses ibn Kathir writes:There will be no blackness or darkness on their faces. The faces of the non-believers will be stained with dust, blackness and darkness. On the Resurrection Day Allah will remove His veil and then show His face to the dwellers of Paradise. He will make the believers' faces white but the unbelievers' faces will be dark.The sinners will be gathered together with blind (blue) eyes and black faces on the day the trumpet is sounded (the Noble Quran)...20:102

Unbeliever's faces will be turned black on the judgment day…39:60

The reason of Allah's great disdain for black faces (black complexion) and His unbound love for the white faces (white complexion) is quite easy to fathom. Muhammad complexion was white. We gather this information from his biography.
 
Umetaka ayat, imekufikia sasa umebakia aaah ahhaah, aaah

link Surat Al-'An`am [6:5] - The Noble Qur'an - ?????? ??????
Is Allah called "Father"?

In contrast, Jesus taught His disciples to pray to God as Father.
Matthew 6:9 teaches, "Our Father in heaven, hallowed be your name." Jesus also called God "your Father who is in heaven" (Matthew 5:16). The Gospel of Matthew refers to God as Father 43 different times, clearly communicating His role as One who is a Father to His spiritual sons and daughters.



 
 
Last edited by a moderator:
African bible schools should emphasiaze this,picha tunayojengewa toka utoto ni kuwa ukristo ni dini ya wazungu na uislam ni dini ya warabu,naupagani ni dini za waafrika.
Na baadhi ya watu wameanza kupromote upagani kama dini ya kiafrica ....back to roots movement..
 

Nadhani hapa mkuu hebu tujue hii nchi iliyotajwa kwenye matendo 13:1 Antiokia iko bara gani?
 
WAFRIKA KITAMBO TULIKUWA VIZURI SANA HATA KABLA YA KUJA KWA MZUNGU BARANI AFRIKA....
MZUNGU ILI KUTUVURUGA NA KUTUYUMBISHA ILI AWEZE KUTUKAMATA "AKATULETEA BIASHARA YA UTUMWA"KITU AMBACHO MPAKA LEO IMETUATHIRI KISAKOLOJIA .....
YAWEZEKANA HATA HISTORIA TULIYOKUWA TUNASOMA MASHULENI ITS WRONG....

OVA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…