Unawakumbuka wale vipanga?

Aise ilikua tarehe 09.01.2003 Mama ndio alinipeleka shule kuanza darasa la kwanza.
Heshima yako mkuu.
 
Afu wale vipanga mbona hatuwaoni huku kitaa wakiwa ktk nyadhfa flan hv au matajiri flan hv...mbona hatuwaoni tena huku?
 
Nilipita pale mkuu,sio siri kwamba pale pia kulikuwa na vipanga sana na nadhani mpaka leo hii hali ni hiyo ukizingatia matokeo ya form six yaliyopita..
Hongera sanaa mzee!
Hongeraaa baba....
[emoji1478][emoji1478][emoji1478][emoji1478][emoji1478]
 
Yani nyuzi kama hizi lazima atokee β€œKalumekenge” mmoja wa kuwa Hater

Kama hukujaaliwa za darasani nyuzi kama hizi pita pembeni...
Sasa mbona unanitukana mkuu unaujua uwezo wangu wa kiakili kwani?
 
Vipanga orijinale walikuaga Mzumbe secondary jamani!na Mafinga seminary!umpe hesabu gan dent wa mafinga seminary ashindwe[emoji28]!dah
Mzumbe secondary, Nilikua Bweni na Mkwawa 01. A.K.A Federal ( Fede).

Bweni la viongozi.

Nimemiss kweli yale maisha mtu anapiga msuli mpaka kunakucha na kareport shule jana as a newcomer.

Kwanini usipaniki?

Ile shule mbali na kuwa ya vipaji maalumu, kuna skills nimezipata zinanisaidia sana in real life.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagera salute,nmesoma level zote za Elimu watu wa kanda hiyo(kagera) uwa ni moto wa kuotea mbali(vipanga) mimi nikiwa mmoja wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama afrika kungekuwa na watu wenye akili basi tusingekuwa masikini.
Hao walikuwa wana uwezo wa kukariri tu kisha wajibu mitihani wafaulu wapate kazi au angalia maisha yao sasa hivi.
Ndo maana hukesha wanasoma wakati hakuna kigumu kwenye hii elimu ya Africa zaidi ya kukariri visivyo na impact kwenye ubongo na maisha yako ya kila siku zaidi ya kupata ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…