ZINDAGI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 1,118
- 1,430
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa sijajiongelea mkuu.Nilikuwa nakufahamu mkuu..
Aise ilikua tarehe 09.01.2003 Mama ndio alinipeleka shule kuanza darasa la kwanza.Aise leo nimekumbuka mbali kidogo miaka ya 2003 enzi hizo naanza form one shule fulani. Enzi hizo ilikuwa shule ya serikali lakini ya vipaji; aisee hapa nilikutana na vipanga humo darasani mpaka naona kero, maana ilikuwa too much
Lakini nilijivunia sana kuwa pale maana nilijifunza mengi ikiwamo kujibidisha katika kusoma kwa vile wote walikuwa vipanga hatari, achana na hawa viazi wa Siku hizi .[emoji120][emoji120][emoji120][emoji119][emoji119][emoji119]
Maisha yao siku hizi yapoje?
Nilipita pale mkuu,sio siri kwamba pale pia kulikuwa na vipanga sana na nadhani mpaka leo hii hali ni hiyo ukizingatia matokeo ya form six yaliyopita..Hapa sijajiongelea mkuu.
Nawaongelea Tabora Boys.
Wao ndiyo walikuwa wanatisha miaka hiyo.
Ila humu tunabishanaga na wanetu hadi matusi tunaambulia.Aise ilikua tarehe 09.01.2003 Mama ndio alinipeleka shule kuanza darasa la kwanza.
Heshima yako mkuu.
Mfano "Acha ushamba wewe, kweli wewe zero kabisa n.k" kumbe unamwambia dingi yako [emoji2][emoji2] ila ndio hivo ID fake.Ila humu tunabishanaga na wanetu hadi matusi tunaambulia.
Kha!
Hongera sanaa mzee!Nilipita pale mkuu,sio siri kwamba pale pia kulikuwa na vipanga sana na nadhani mpaka leo hii hali ni hiyo ukizingatia matokeo ya form six yaliyopita..
Sasa mbona unanitukana mkuu unaujua uwezo wangu wa kiakili kwani?Yani nyuzi kama hizi lazima atokee “Kalumekenge” mmoja wa kuwa Hater
Kama hukujaaliwa za darasani nyuzi kama hizi pita pembeni...
Mzumbe secondary, Nilikua Bweni na Mkwawa 01. A.K.A Federal ( Fede).Vipanga orijinale walikuaga Mzumbe secondary jamani!na Mafinga seminary!umpe hesabu gan dent wa mafinga seminary ashindwe[emoji28]!dah
Mzumbe Baba Lao! [emoji23][emoji23]Tabora Boys dogo, Tabora Boys!
Unawajua wewe au unawasikia ???
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tunakula Bata, karibu, SINALOA, MEXICO!Vipi huko walipo wanaendeleaje???
Tabora Boys dogo, Tabora Boys!
Unawajua wewe au unawasikia ???
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kagera salute,nmesoma level zote za Elimu watu wa kanda hiyo(kagera) uwa ni moto wa kuotea mbali(vipanga) mimi nikiwa mmoja waoDarasani kwetu kulikuwa na vipanga sana, lakini vipanga hatari zaidi, walikuwa kama sita hivi. Kuna hilo lihaya mmoja hivi na lenzake limasai yalikuwa ni moto wa kuotea mbali.
Unaweza ukapata mtihani 90 ya hesabu ukajua leo nimewaweza kesho mnakuja kutangaziwa kwamba lile lihaya limepata 98, unatamani hata kulia unashindwa.
Kuna lijamaa jingine lilikuwa linyarwanda lilikuwa lina hatari sana, lilikuwa linafahamu vitu hadi walimu wakaanza kuliita Encyclopedia. Wewe sema kitu, jamaa linajua. Sema lilikiwa na accent mbaya kweli kwenye English tulikuwa tunalicheka kichizi linachukia kinoma.
Darasani kwetu kulikuwa na vipanga sana, lakini vipanga hatari zaidi, walikuwa kama sita hivi. Kuna hilo lihaya mmoja hivi na lenzake limasai yalikuwa ni moto wa kuotea mbali.
Unaweza ukapata mtihani 90 ya hesabu ukajua leo nimewaweza kesho mnakuja kutangaziwa kwamba lile lihaya limepata 98, unatamani hata kulia unashindwa.
Kuna lijamaa jingine lilikuwa linyarwanda lilikuwa lina hatari sana, lilikuwa linafahamu vitu hadi walimu wakaanza kuliita Encyclopedia. Wewe sema kitu, jamaa linajua. Sema lilikiwa na accent mbaya kweli kwenye English tulikuwa tunalicheka kichizi linachukia kinoma.
Mbona wacheka mkuu ???