Unawakumbuka wale vipanga?

daah mzee nmekaa mkwawa nne pale..karibu na nyumbani kwa temba..rwegisira..nimemis saana maeneo yake..changarawe. tangeni.. watoto wakilei[emoji23][emoji23][emoji23]..
 
Elikana wa Bwiru Boys,huyu jamaa alikuw so mtu wa kawaida
 
daah mzee nmekaa mkwawa nne pale..karibu na nyumbani kwa temba..rwegisira..nimemis saana maeneo yake..changarawe. tangeni.. watoto wakilei[emoji23][emoji23][emoji23]..
Nitakuwa nakufahamu mkuu.

Nilikaa Mkwawa04 pia.

Chair wenu alikuwa nani wakati huo?

Sio poa lile bweni limezungukwa na teachers kote.

Mtindi bado upo pale kwa madam malamsha? Tulikuwa tunashushia na nguna wakati wa jua kali mchana.

Daah, All good memories!
 
Mzumbe Baba Lao! [emoji23][emoji23]

Tuache unafiki kwa special school, Tabora tunawapa heshima ya kuwa kongwe ila saivi tuna wababua sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo wewe kapuchiro!
Weka hapa matokeo ya form six miaka mitano ilopita Tabora Boys vs Mzumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…