Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,727
Vipi huko walipo wanaendeleaje???
[emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi huko walipo wanaendeleaje???
mzumbe secondary..mvomero district mzee..nmesoma hapo aisee..miaka hiyoVipanga orijinale walikuaga Mzumbe secondary jamani!na Mafinga seminary!umpe hesabu gan dent wa mafinga seminary ashindwe[emoji28]!dah
mzumbe boy.. determination was our motto..Nawakumbuka Vipanga Kina NGAIMISI ,Sunday,Luse,Emily wa Mzumbe wote walipiga A 9 IV na A 3 VI..........Wanafunzi Wangu hao.
huwezi fanananisha mzumbe na shule yeyote ya serikali nchini hapa..kabla ya hizo private kuanzishwaTabora Boys dogo, Tabora Boys!
Unawajua wewe au unawasikia ???
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
daah mzee nmekaa mkwawa nne pale..karibu na nyumbani kwa temba..rwegisira..nimemis saana maeneo yake..changarawe. tangeni.. watoto wakilei[emoji23][emoji23][emoji23]..Mzumbe secondary, Nilikua Bweni na Mkwawa 01. A.K.A Federal ( Fede).
Bweni la viongozi.
Nimemiss kweli yale maisha mtu anapiga msuli mpaka kunakucha na kareport shule jana as a newcomer.
Kwanini usipaniki?
Ile shule mbali na kuwa ya vipaji maalumu, kuna skills nimezipata zinanisaidia sana in real life.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuwa nakufahamu mkuu.daah mzee nmekaa mkwawa nne pale..karibu na nyumbani kwa temba..rwegisira..nimemis saana maeneo yake..changarawe. tangeni.. watoto wakilei[emoji23][emoji23][emoji23]..
Acha uongo wewe kapuchiro!Mzumbe Baba Lao! [emoji23][emoji23]
Tuache unafiki kwa special school, Tabora tunawapa heshima ya kuwa kongwe ila saivi tuna wababua sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna akiliSasa mbona unanitukana mkuu unaujua uwezo wangu wa kiakili kwani?
Kumbe ulikuaga unajiita Misil.Na ndio unaniambia sasa hivi kuwa baba wa taifa amesoma tabora boys
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kujiita hivyo mimiKumbe ulikuaga unajiita Misil.