Unawakumbuka wale vipanga?

Unawakumbuka wale vipanga?

Mzumbe secondary, Nilikua Bweni na Mkwawa 01. A.K.A Federal ( Fede).

Bweni la viongozi.

Nimemiss kweli yale maisha mtu anapiga msuli mpaka kunakucha na kareport shule jana as a newcomer.

Kwanini usipaniki?

Ile shule mbali na kuwa ya vipaji maalumu, kuna skills nimezipata zinanisaidia sana in real life.

Sent using Jamii Forums mobile app
daah mzee nmekaa mkwawa nne pale..karibu na nyumbani kwa temba..rwegisira..nimemis saana maeneo yake..changarawe. tangeni.. watoto wakilei[emoji23][emoji23][emoji23]..
 
Elikana wa Bwiru Boys,huyu jamaa alikuw so mtu wa kawaida
 
daah mzee nmekaa mkwawa nne pale..karibu na nyumbani kwa temba..rwegisira..nimemis saana maeneo yake..changarawe. tangeni.. watoto wakilei[emoji23][emoji23][emoji23]..
Nitakuwa nakufahamu mkuu.

Nilikaa Mkwawa04 pia.

Chair wenu alikuwa nani wakati huo?

Sio poa lile bweni limezungukwa na teachers kote.

Mtindi bado upo pale kwa madam malamsha? Tulikuwa tunashushia na nguna wakati wa jua kali mchana.

Daah, All good memories!
 
Back
Top Bottom