Ninazo hela na ninaajiri watu kama wewe 7 ambao wanakula na kunya kwa uwekezaji wangu. Njoo na wewe Ubungo Kibo kama huna kaziUnamwambia mtu akatafute Hela, wewe huu muda wa kumjibu Kwa nini usikomae kutafuta Hela!? Hiyo ni kuleta kujuana.
Unauliza maswali kama mtoto wa Chekechea. Eti CCM ikipumzishwa aje nani.Ni lini hali hizi hazikuwepo na bado CCM imekuwa inachaguliwa!, what is the difference this time?
Lets suppose its true CCM imepoteza mvuto na imepoteza mwelekeo, hivyo CCM inapaswa ipumzishwe, aje nani?.
P
Atagombea na atakuwa Rais hadi 2030, wacha majungu kafanye kaziBila kugombea hawezi kuchaguliwa.
Kwa hiyo wamuabudu Magufuli siyo? Yuko wapi sasa ? Siye tupo tunadunda, yeye amekuwa chakula cha minyoo ChatoNilijua tu wewe ni mmoja wapo wa wale waliobananishwa na Magufuli. Ona eti sahivi umehamia CCM!
Ndo nakwambia Ili achaguliwe ni Hadi agombee.Atagombea na atakuwa Rais hadi 2030, wacha majungu kafanye kazi
Wewe ni mpumbavu Mmoja kuleta kujuana humu ndani. Unamwambia mtu akatafute Hela, wewe umejuaje yeye Hana Hela!? Wewe unajua na yeye kaajiri watu wangapi!? Eti unazo Hela, so, nani ambaye Hana!? Ficha upumbavu wako.Ninazo hela na ninaajiri watu kama wewe 7 ambao wanakula na kunya kwa uwekezaji wangu. Njoo na wewe Ubungo Kibo kama huna kazi
Wewe huna hela, mwandiko wako na povu unalotoa ni la kinyonge na hasira ya kukosa.Wewe ni mpumbavu Mmoja kuleta kujuana humu ndani. Unamwambia mtu akatafute Hela, wewe umejuaje yeye Hana Hela!? Wewe unajua na yeye kaajiri watu wangapi!? Eti unazo Hela, so, nani ambaye Hana!? Ficha upumbavu wako.
Siwezi kuwa na hasira na mpumbavu, ni kama kichaa tu akikupiga jiwe, unaachana nayeWewe huna hela, mwandiko wako na povu unalotoa ni la kinyonge na hasira ya kukosa.
Kuna mtu ame-hack hii ID.Kukatika katika hovyo kwa umeme
fukuza fukuza ya machinga
kuongeza nauli hovyo hovyo
ubovu wa miundombinu ya barabara
kukwama kwa miradi mbalimbali
mfumko wa kutisha wa bei
Rushwa iliyokithiri
mnataka mchaguliwe kwenda kuongeza tena gharama za maisha? yaani CCM mmepoteza mvuto na mmepoteza mwelekeo
Kukatika katika hovyo kwa umeme
fukuza fukuza ya machinga
kuongeza nauli hovyo hovyo
ubovu wa miundombinu ya barabara
kukwama kwa miradi mbalimbali
mfumko wa kutisha wa bei
Rushwa iliyokithiri
mnataka mchaguliwe kwenda kuongeza tena gharama za maisha? yaani CCM mmepoteza mvuto na mmepoteza mwelekeo
nyie wala hamfahmu chochote nyamazeni kabisa haka kakimbaumbau nako kanasema nini siku hizi UDSM ni chuo cha kuzalisha machawa, udom machinga IFM madalali
πππ¨nyie wala hamfahmu chochote nyamazeni kabisa haka kakimbaumbau nako kanasema nini siku hizi UDSM ni chuo cha kuzalisha machawa, udom machinga IFM madalali
Huyu jamaa akili yake haipo sawa. Anahitaji kabisa uangalizi. Hamna logic kabisa kwenye post zake.Wewe ni mpumbavu Mmoja kuleta kujuana humu ndani. Unamwambia mtu akatafute Hela, wewe umejuaje yeye Hana Hela!? Wewe unajua na yeye kaajiri watu wangapi!? Eti unazo Hela, so, nani ambaye Hana!? Ficha upumbavu wako.