Pre GE2025 Unawaongezea wananchi gharama za maisha halafu useme wakuchague ukaumize tena, CCM mmekuwaje?

Pre GE2025 Unawaongezea wananchi gharama za maisha halafu useme wakuchague ukaumize tena, CCM mmekuwaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi wewe unategemea Kila kitu atamaliza Samia Kwa miaka 3?
Wapi nimesema kwamba Samia atamaliza kila kitu ndani ya miaka 3??

Hii nchi haiendeshwi kwa porojo za watu wa CCM. Vision 2020-2025 ndiyo iliyokuwa inatuongoza. Jee tumefanikiwa kwa kiasi gani kuitekeleza??
 
Kama yupo nitajie,uliwahi ona Mwendazake ameweka pesa kwenye maji? Samia amemwaga pesa kuanzia Kidunda Dam Hadi Runagwa huko.

Iko hivyo sekta zote ikiwemo miradi ya Mwendazake aliyoshindwa kuikamiliaha.
hatuna Rais anayeitwa Samia tuna Makamu wa Rais Samia na RAIS bado ni Magufuli kwani Samia aliomba kura wapi aliandika ilani gani mwenyewe wakati anayetekeleza ilani ni Rais Magufuli ni ilani ya 2020/2025
 
Kama yupo nitajie,uliwahi ona Mwendazake ameweka pesa kwenye maji? Samia amemwaga pesa kuanzia Kidunda Dam Hadi Runagwa huko.
Inawezekana una ufahamu mdogo sana wa Jiografia ya Tanzania na ukubwa wake. Hiyo miradi unayoitaja ni sawa na tone la sukari kwenye bahari ya chumvi.

Matatizo ya maji Tanzani hiyo miradi unayoitaja ni alama tu ya mwanzo wa utatuzi wa matatizo ya Maji Tanzania. Mradi wa bomba toka Ziwa Victoria ni mkubwa lakini bado ni kama sehemu tu ya utatuzi wa tatizo la maji Tanzania.
 
Ukiondoa wazee wa vijijini waliokosa elimu wengine wote ndani ya CCM wamefuata unafuu wa maisha.
Hakuna mtu mwenye akili timamu na ana elimu angalau kidato cha nne anaweza kuiimba CCM.
 
Sio sisi, ndio kanuni ya dunia nzima, inatumia kanuni za Newton kilichopo kitaendelea kuwepo mpaka kitokee kingine cha kukisogeza, na kama kinatembea kitaendelea kutembea mpaka kitokee kingine cha kukisimamisha!.

Hata tukifanya uchaguzi huru kabisa na wa haki kabisa, katika hawa waliopo, nani anaweza kui replace CCM, tukaipa Ikulu yetu?.
P
Mimi naamini CHADEMA au ACT-Wazalendo wanaweza kuongoza nchi na kama hawawezi ni bora Jeshi lichukue nchi na kuunda serikali ya mseto.
Hiyo Dunia unayoisema wewe ni ipi,ambapo chama tawala kimeshidwa kuongoza nchi alafu kinaachwa kwa kisingizio kuwa hakuna replacement!
Hii nchi unataka kutuambia kuwa sisi wote hatuna akili ila ndani ya CCM ndiyo Kuna watu wana akili ingawa hawana!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Paschal msamehe bure, ukijua maana ya Mayala mengine unapotezea
 
Sio sisi, ndio kanuni ya dunia nzima, inatumia kanuni za Newton kilichopo kitaendelea kuwepo mpaka kitokee kingine cha kukisogeza, na kama kinatembea kitaendelea kutembea mpaka kitokee kingine cha kukisimamisha!.

Hata tukifanya uchaguzi huru kabisa na wa haki kabisa, katika hawa waliopo, nani anaweza kui replace CCM, tukaipa Ikulu yetu?.
P
.Kabla ya Tanu/ccm kuongoza nchi baada ya uhuru hawakuonekana popote duniani kua wanaweza kuongoza,je mkoloni naye angekua na akili hizi zako ingekuaje?.Ccm imeshapata nafasi ya kuongoza miaka nusu karne inatosha kabisa kujua hawa wanaweza au uwezo wao hapo ulipo ndipo ulipoishia.Haiitajiki phd kulijua hilo.sasa tusihukumu ambao hawajapata nafasi zakuongoza kwasababu ata ccm haikuhukumiwa mwanzo.Ccm haiwezi tena kua na maajabu yoyote ndo maana porojo ni nyingi kuliko uhalisia.Hili kulikomboa hili taifa lazima ccm ife ili nchi isimike msingi na mifumo mingine yakuipeleka nchi mbele zaidi ya hapa.
 
Huyu mjambiani ni mpumbavu haswa ...anadhani watanganyika tuko tayari kuongozwa na mpumbavu kwa miaka mitano tena...kitu pekee anachotegemea huyu mpuuzi ni kuiba kura na kuanithi upinzani .... kwenye ili la kuanithi upinzani kafanikiwa kwa asilimia 100 maana anatumia pesa za umma kuwaonga wakina mbowe na wengine ....kwahiyo anacho kifanya ni kututia pin [emoji419] watanzania tukose cha kuchagua mbadala hata kama yeye hatumpendi ...
Huna akili dada
 
Kwaiyo wewe Bwana Pascal na usomi wako unaamini hatuwezi kuendesha hii nchi bila CCM?
Tatizo la nchi wasomi wengi ni wanataaluma ila siyo waelewa!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Sio kuwa hatuwezi kuendesha nchi bila CCM, bali kabla Watanzania hawajaipumzisha CCM, tufanye kwanza maandalizi ya nani wa kui replaces CCM, ndipo tuipumzishe CCM, lazima tukubali au tukatae, vyama vilivyopo, bado havina uwezo in terms of maturity, ability, capacity and capability to replace CCM.

Ukiona upinzani hoja zake ni matusi,kejeli na kukosoa bila kushauri kwa maslahi ya Taifa basi kuwa makini sana katika maamuzi.
Hatuna serious upinzani katika Nchi hii.Tuna wakosoaji wasio na muelekeo na dira ya maendeleo
 
Kukatika katika hovyo kwa umeme

fukuza fukuza ya machinga

kuongeza nauli hovyo hovyo

ubovu wa miundombinu ya barabara

kukwama kwa miradi mbalimbali

mfumko wa kutisha wa bei

Rushwa iliyokithiri

mnataka mchaguliwe kwenda kuongeza tena gharama za maisha? yaani CCM mmepoteza mvuto na mmepoteza mwelekeo
mnataka mchaguliwe kwenda kuongeza tena gharama za maisha? yaani CCM mmepoteza mvuto na mmepoteza mwelekeo[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom