Safi! Safi sana. Nakushauri yooote haya ingiza kwenye Ilani ya CHADEMA ya Mr Tundu 2025 bila shaka mtajishindia mkaifilisi TANESCO.Kukatika katika hovyo kwa umeme
fukuza fukuza ya machinga
kuongeza nauli hovyo hovyo
ubovu wa miundombinu ya barabara
kukwama kwa miradi mbalimbali
mfumko wa kutisha wa bei
Rushwa iliyokithiri
mnataka mchaguliwe kwenda kuongeza tena gharama za maisha? yaani CCM mmepoteza mvuto na mmepoteza mwelekeo