Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Sio sisi, ndio kanuni ya dunia nzima, inatumia kanuni za Newton kilichopo kitaendelea kuwepo mpaka kitokee kingine cha kukisogeza, na kama kinatembea kitaendelea kutembea mpaka kitokee kingine cha kukisimamisha!.Hata kama nayo sio credible?
Ni utemi tu mnafanya kaka.
Watu wanajua wamechoka vipi, nyie mmeshapata nafasi to prove yourselves for 60 years, kama hamjaweza ni hamuwezi tu, acheni utemi. Wekeni mazingira huru ya uchaguzi muache watu wachague wanachotaka.
Hii ya kusema kama hakuna credible replacement iendelee ccm nyinyi ndio mnasema.
Hata tukifanya uchaguzi huru kabisa na wa haki kabisa, katika hawa waliopo, nani anaweza kui replace CCM, tukaipa Ikulu yetu?.
P