The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Sijui ni akili gani ccm huwa wanatumia kufikiri.
1. Nchi haina viwanda
2. Tuna import almost everything
3. Technology yetu ni sifuri.
4. Magari yote hayo wanatembelea ni imported
5. Hata sindano tu hatuwezi kutengeneza.
6. Nchi ina watu wananuka umaskini mkubwa.
Hivi mtu anapata wapi ujasiri wakujigamba mbele ya mzungu!