cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Naah!! ๐๐๐๐Baby, it is what it is ๐.
Naah!! ๐๐๐๐Baby, it is what it is ๐.
Jambo toto!?Naah!! ๐๐๐๐
Halafu nashangaa mtu analalamika eti hata toothpick tunaagizo kutoka njeWazungu hawapo kwa ajili ya kuziendeleza nchi za Africa
Ni colonial legacy inayotusumbua sisi wabantu kuamini kuwa wazungu ndo kila kitu.
Ukisema Magari n.k je wanayagawa bure au it is just a business .
Africa ni soko la bidhaa za kizungu na kichina .
anatumia kodi zetu kuhatarisha usalama wetu , anataka ubabe wa mdomon wkt mapigano ya kiuchumi yakianza athar wanapata watz wa kawaidaGT
Sijui ni akili gani ccm huwa wanatumia kufikiri.
1. Nchi haina viwanda
2. Tuna import almost everything
3. Technology yetu ni sifuri.
4. Magari yote hayo wanatembelea ni imported
5. Hata sindano tu hatuwezi kutengeneza.
6. Nchi ina watu wananuka umaskini mkubwa.
Hivi mtu anapata wapi ujasiri wakujigamba mbele ya mzungu!
Ni muhimu kwa nchi za Afrika kuwa na ufahamu wa kina kuhusu masilahi ya nchi za kigeni na jinsi yanavyoweza kuathiri mchakato wa kisiasa na kijamii. Kujenga uwezo wa ndani, kuimarisha demokrasia, na kuendeleza elimu ya raia kunaweza kusaidia katika kupunguza athari za matumizi mabaya ya wanaharakati na kuimarisha uhuru wa ndani. Aidha, ni muhimu kwa nchi za Afrika kuunda sera zinazolinda masilahi yao na kuhakikisha kwamba rasilimali zao zinatumika kwa faida ya wananchi wao. #TANZANIA #SIASAGT
Sijui ni akili gani ccm huwa wanatumia kufikiri.
1. Nchi haina viwanda
2. Tuna import almost everything
3. Technology yetu ni sifuri.
4. Magari yote hayo wanatembelea ni imported
5. Hata sindano tu hatuwezi kutengeneza.
6. Nchi ina watu wananuka umaskini mkubwa.
Hivi mtu anapata wapi ujasiri wakujigamba mbele ya mzungu!
Nadhani wakati nini sasa?Hivi ni wakati gani mamlaka zinaweza kusema mkuu kadata, akamatwe apate matibabu
Hata hiyo founfation anayojipaka kila siku inatoka kwa wazungu. Ngoja awaletee jeuri.....kuna siku atatoka kama kinyago cha mpepure!Bora chupi mkuu vijiti vya kuchokonolea meno na masikio vyote ni imported.
Whoooo arrreeee youuuuuu๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญGT