DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Wazungu hawapo kwa ajili ya kuziendeleza nchi za Africa
Ni colonial legacy inayotusumbua sisi wabantu kuamini kuwa wazungu ndo kila kitu.
Ukisema Magari n.k je wanayagawa bure au it is just a business .
Africa ni soko la bidhaa za kizungu na kichina .