The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Sijui ni akili gani ccm huwa wanatumia kufikiri.
1.Nchi haina viawanda
2. Tuna import almost everything
3. Technology yetu ni sifuri.
4. Magari yote hayo wanatembelea ni imported
5. Hata sindano tu hatuwezi kutengeneza.
6.Nchi inawatu wananuka umaskini mkubwa.
Ivi mtu anapata wapi ujasiri wakujigamba mbele.ya mzungu kama siyo kichaa
Nguo zote Alizovaa ni imported aisee hatari kwa TaifaMama yangu mwenye nyumba hapa Buza kijiwe samli hata ushungi anaagiza Kwa wazungu
Unazalisha nini wewe mpaka ujitegemee! Kila kitu mnaagiza kutoka nje. Au mtakuwa mnashindia ugali tu na kande kila siku. Maana ndicho kitu pekee mnachojivunia mpaka sasa.Ifike mahali tuache kuendeshana...... Mlimkalia kooni MAGUFULI na katoboa..
Alafu mnakua ka mabwege si ni nyie mlisema anakopakopa sanaaa ni muda wa kujitegemea sasa.
Hatari tupu. Wenzetu wanakaa karibu na wazungu japo waibe Hata technology mfano kenya na Rwanda sisi tunajitenga bure kabisaBora chupi mkuu vijiti vya kuchokonolea meno na masikio vyote ni imported.
Mahindi yanataka mbolea, mbolea inatoka nje madawaUnazalisha nini wewe mpaka ujitegemee! Kila kitu mnaagiza kutoka nje. Au mtakuwa mnashindia ugali tu na kande kila siku. Maana ndicho kitu pekee mnachojivunia mpaka sasa.
Baby, it is what it is π.πππππ
Umesahau kiwanda kipo Arusha na MbeaMahindi yanataka mbolea, mbolea inatoka nje madawa