PostGE2025 Unawauliza wazungu 'who are you' wakati nchi bado ina import hadi chupi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unazalisha nini wewe mpaka ujitegemee! Kila kitu mnaagiza kutoka nje. Au mtakuwa mnashindia ugali tu na kande kila siku. Maana ndicho kitu pekee mnachojivunia mpaka sasa.
So ile statement ya kukopakopa leo haina mashiko tena??? Msimeze matapishi mlihubiri kujitegeme na matumizi sahihi ya Rasilimali.... MUDA NI SASA
 
She stood on business. Kama rais hawezi kusimama mbele ya dunia na kulia lia mumchukulie poa. Unaweza kumchukia uwezavyo ila huo ndo uhalisia.
Ni ujinga kaonesha
 
So ile statement ya kukopakopa leo haina mashiko tena??? Msimeze matapishi mlihubiri kujitegeme na matumizi sahihi ya Rasilimali.... MUDA NI SASA
Hawa nyumbu unafikiri wana kumbukumbu?Wao kila linalowajia kichwani ndio hilo hilo.Utegemezi wa Magharibi unatupatia nini?Dunia imeendelea siasa za ukoloni mambo leo zimefikia ukomo.Nchi za Afrika Magharibi zikiongozwa na Burkina Faso, Niger na Mali zimefukuza mabeberu wote kwenye migodi yao na kuanza kujitegemea.Huku hawa ma uncle Tom na House Niggers bado wanafikiri dunia inategemea Western World?
Miaka ya karibuni wao ndio wanaomba ku invest.China,Uturuki,UAE,Brazil na Russia wamekuwa mbadala wa mabeberu.
Namibia wali deport wamerekani 500 ulisikia kelele?
 
So ile statement ya kukopakopa leo haina mashiko tena??? Msimeze matapishi mlihubiri kujitegeme na matumizi sahihi ya Rasilimali.... MUDA NI SASA
Kwani hata alipokopa hizo fedha alifanyia nini cha maana? Halafu uwezo wa kutumia raslimali za nchi kwa usahihi mliupata lini?
 
She stood on business. Kama rais hawezi kusimama mbele ya dunia na kulia lia mumchukulie poa. Unaweza kumchukia uwezavyo ila huo ndo uhalisia.
Mpeni kichwa tuu, watu kama wewe mnaishia kuwa victim tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…