DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Tuna import zaidi kutoka China na Japan siyo UlayaGT
Sijui ni akili gani ccm huwa wanatumia kufikiri.
1.Nchi haina viawanda
2. Tuna import almost everything
3. Technology yetu ni sifuri.
4. Magari yote hayo wanatembelea ni imported
5. Hata sindano tu hatuwezi kutengeneza.
6.Nchi inawatu wananuka umaskini mkubwa.
Ivi mtu anapata wapi ujasiri wakujigamba mbele.ya mzungu kama siyo kichaa
Wewe ni mpuuzi, kujitegemea kunakuja baada ya kuwa blocked kukopa au ni Kwa kuweka mikakati na sera Bora za kiuchumi?So ile statement ya kukopakopa leo haina mashiko tena??? Msimeze matapishi mlihubiri kujitegeme na matumizi sahihi ya Rasilimali.... MUDA NI SASA
Kama namuona alivyokuwa anatufyonza. Eti nywinywinywi mfyuuuuu. Bi mkubwa anajikuta Benito Musolini. Muda utaongeaBasi anajiona mwambaππ
Ila binafsi natamani tuanze kutengeneza vyetu wenyewe, sisi kila kitu tunaagiza nje π₯²Wazungu hawapo kwa ajili ya kuziendeleza nchi za Africa
Ni colonial legacy inayotusumbua sisi wabantu kuamini kuwa wazungu ndo kila kitu.
Ukisema Magari n.k je wanayagawa bure au it is just a business .
Africa ni soko la bidhaa za kizungu na kichina .
Jidanganye. Wazungu ndiyo.wenye dunia.kwenye technology acheni kubweka kama vichaaTuna import zaidi kutoka China na Japan siyo Ulaya
Sisi hatuhitaji technologyJidanganye. Wazungu ndiyo.wenye dunia.kwenye technology acheni kubweka kama vichaa
Lakini bado sio vizuri, inabidi tuanze kuzalisha vya kwetuTuna import zaidi kutoka China na Japan siyo Ulaya
Kwa niniSisi hatuhitaji technology
alafu mazee majinga yanamshangilia wakati hayana hata bima ya afya na bado kawananga kwamba mkome ndiyo maana nimeua watoto wenuGT
Sijui ni akili gani ccm huwa wanatumia kufikiri.
1.Nchi haina viawanda
2. Tuna import almost everything
3. Technology yetu ni sifuri.
4. Magari yote hayo wanatembelea ni imported
5. Hata sindano tu hatuwezi kutengeneza.
6.Nchi inawatu wananuka umaskini mkubwa.
Ivi mtu anapata wapi ujasiri wakujigamba mbele.ya mzungu kama siyo kichaa
GT
Sijui ni akili gani ccm huwa wanatumia kufikiri.
1. Nchi haina viwanda
2. Tuna import almost everything
3. Technology yetu ni sifuri.
4. Magari yote hayo wanatembelea ni imported
5. Hata sindano tu hatuwezi kutengeneza.
6. Nchi ina watu wananuka umaskini mkubwa.
Hivi mtu anapata wapi ujasiri wakujigamba mbele ya mzungu!
πππππ kama ndiyo mimi na umri upo jioni hivi hata huo uraisi ningeachana nao tu nikapumzike hakuna namna mateso yote haya waliomchomeka wanamchora tu G2 ndio kwanza wameamka naeLeo chupa imeamka na chai
GT
Sijui ni akili gani ccm huwa wanatumia kufikiri.
1. Nchi haina viwanda
2. Tuna import almost everything
3. Technology yetu ni sifuri.
4. Magari yote hayo wanatembelea ni imported
5. Hata sindano tu hatuwezi kutengeneza.
6. Nchi ina watu wananuka umaskini mkubwa.
Hivi mtu anapata wapi ujasiri wakujigamba mbele ya mzungu!
ilo lingewezekana kama si ubinafsi wa CCM kwa sasa ni mwendo wa ombaomba na kopakopa juzi tumepewa prado mbili na waarabu hicho ni kishika uchumba subiri majibu yake,hamuwezi kuendesha li nchi likubwa hivi kwa pesa zenu za madafuIla binafsi natamani tuanze kutengeneza vyetu wenyewe, sisi kila kitu tunaagiza nje π₯²