babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Nimekula mitusi ya hatari jana tu usiku.
Ningempa mikofi yule sahizi tungekua na ujirani mwema na polisi.
Ila kachezea fimbo mpaka kanyanyua mikono.
Katukana wazazi wake wote jana hiyohiyo.