Unawaza mnunue kiwanja mjenge mwenzako anawaza anunue kabati amtuze shoga yake kwenye shughuli, Epuka hizi type kama unajitafuta, utazeekea magetoni.

Nimekula mitusi ya hatari jana tu usiku.
Ningempa mikofi yule sahizi tungekua na ujirani mwema na polisi.
Ila kachezea fimbo mpaka kanyanyua mikono.
Katukana wazazi wake wote jana hiyohiyo.
 
Kuziepuka hizo type kwa Kuandika ni rahisi. Ila kwa vitendo sio rahisi. Kila ukiwaza shape yake yaani mshepu uliojaa kisawasawa, msambwanda uliofungasha, au tako kubwa tena limepakwa wese linang'ara muda wa doggy, huku kuna milio ya pwa!pwa!pwa!pwa!, unabadili mawazo 🤣🤣
😄😄 Kitu mashine mnato...
 
Unamkuta binti mrembo ana shape, sura, n.k. lakini afya ya akili za kimaendeleo ni F yenye resit, epukana nao kama unajitafuta.

Unamweka ndani mpo kwenye maisha ya chumba na sebule unawaza hela uliyopata kwenye mishe utafute kiwanja mjenge yeye anawaza na anaweza hata kuiba hizo pesa aende kumnunulia kabati shoga yake amtuze kwenye shughuli.
kila mtu awaze kufanya kinachomurahisha
so unataka usaidiwe kujenga na mwenzi wako, shtuka. huo ni wajibu wako
 
Kuziepuka hizo type kwa Kuandika ni rahisi. Ila kwa vitendo sio rahisi. Kila ukiwaza shape yake yaani mshepu uliojaa kisawasawa, msambwanda uliofungasha, au tako kubwa tena limepakwa wese linang'ara muda wa doggy, huku kuna milio ya pwa!pwa!pwa!pwa!, unabadili mawazo [emoji1787][emoji1787]
Hahahahaa, wee jamaaaa
 
Mzee wa kupambania mzabzab Natafuta Ajira Madame B Equation x Extrovert comment yenu kuhusu iyo comment ya akili ndogo sana 😂😂😂 hapo juu
Hayanaga muongozo
b1.png
 
Unamkuta binti mrembo ana shape, sura, n.k. lakini afya ya akili za kimaendeleo ni F yenye resit, epukana nao kama unajitafuta.

Unamweka ndani mpo kwenye maisha ya chumba na sebule unawaza hela uliyopata kwenye mishe utafute kiwanja mjenge yeye anawaza na anaweza hata kuiba hizo pesa aende kumnunulia kabati shoga yake amtuze kwenye shughuli.
Hii itakuwa umeoa kati ya
  1. Pwani
  2. Morogoro
  3. Lindi
  4. Mtwara
  5. Tanga
 
Kuziepuka hizo type kwa Kuandika ni rahisi. Ila kwa vitendo sio rahisi. Kila ukiwaza shape yake yaani mshepu uliojaa kisawasawa, msambwanda uliofungasha, au tako kubwa tena limepakwa wese linang'ara muda wa doggy, huku kuna milio ya pwa!pwa!pwa!pwa!, unabadili mawazo 🤣🤣
Kwahiyo kwako akiwa na hizo sifa bora agawe tu kabati kwa rafiki yake😀
 
Back
Top Bottom