Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em huko, tena wengine jando la porini, na bado anakua kidampa, ana ukalia na kuulilia ukuni km kauwaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] cocastic tuishie hapa kwa kweli [emoji119][emoji119]
Na maumivu yote yale ya kutahiri.wa unakuta mtu anakuwa ..... [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]...
Vidampaa una vipa promo sana wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .
Takata mdomo wako huo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em muachee wizooo akee, ana ndoa changa huyoo, anapeti peti.Nyie jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu mmevurugwa mwaka huuu
BICHWA KOMWE - njooo huku..
Kumbe ndo mana ana ku tag anajua akili moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
😂😂😂😂😂😂😂 Umenishinda tabia 🙌🙌🙌🙌🙌🙌[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em huko, tena wengine jando la porini, na bado anakua kidampa, ana ukalia na kuulilia ukuni km kauwaaa.
Mie kungwiii huwa nawafunda wasiachike, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂🙌🙌 Ngoja tuone..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em muachee wizooo akee, ana ndoa changa huyoo, anapeti peti.
Mie ishapita anniversary 1, tunaikimbilia ya 2.
Ndoa ninayoo na haijarogwaa, weraaaaaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena kubwa sana na lisipo shugulikiwa kwa uharaka na umakini litakuwa kubwa sana ktk vijana wanaokuja. Tumwombe sana Mungu.
Nimekumiss,mbona Sikuoni rafiki?Hahahahaha sio chuchu saa sita?
I knownikikutana naye nafumua unless nione hizo picha zake za ukidume ndio nitaghairi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenishinda tabia [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ndoa ninayoo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] Ngoja tuone..
Shangaa nawee hapo uduguu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mngeanza kuwashangaa wanaompanda mana kwa akili za kawaida ndio wa kwanza anapaswa tumshangae!! Wanaume muache kuwatumia tuone km watakuwepo
No! Sababu ni mtu anayezungumziwa mara nyingi eventually utakutana nae tu kwenye page za udaku za huko kwao.
Sasa mzee mwenzangu....utamwonaje mtu kama uja mfollow...ahahahaaUme'mfollow??
Haha na una mfollow vipi mtu ambae huna interest nae??I'm so particular,nimefollow wacheza mpira,teams,Rappers,wapiga picha,Na page za movies,watu ninao wajua tu,Kama 130 tu akaunti nimefollowSasa mzee mwenzangu....utamwonaje mtu kama uja mfollow...ahahahaa
Huyu ni Mwanaume kutoka Nigeria ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike.
Jina lake ni Daniel Anthony Nskan.
View attachment 2947534View attachment 2947535View attachment 2947536
Habari zako ninazo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizooo nammudu, afu hasumbuii kwangu.
Wee kijana mie nimeshavuka hizo level, au habari zangu huna? Uliza kwa shangazi ako wa maporini akuambie vizuri kuhusu mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]