Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sasa hivi wanaume tuwe makini sana! Juzi kati nimepita mitaa fulani hivi Tandika! Mpaka roho ikaniuma aisee! Natoka zangu mishe mishe nikapishana na pisi kali mbili safi kabsa! Zimeuramba hatari! Moja ikanisalimia nikaitikia. Nikapita kwenye chipsi ninunue msosi nikamuuliza mwamba anayehudumia kuwa zile pisi zinakaa wapi, maana nimezielewa! Jamaa alicheka sana kiasi kwamba alikaa chini kabsa! Akaniambia kuwa wale wameshakata kamba kitambo, ni washkaji ila wanachotwa nyuma fresh tu! Mwili ulisisimka wote!
Kuna wanaume wanapendeza kuliko hata wanawake! Dunia hii aisee Daniel Anthony Nskan kwa sasa anatambulika kama She ila moyoni mwake bado atabakia kuwa He
""Mwili ulisisimka wote!""
Baada ya kusikia ni wakiume ukasisimka 😂😂🙌🙌🙌🙌
Wee jamaa jau sana