Unaweza kuamini kuwa huyu ni Mwanaume?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
""Mwili ulisisimka wote!""
Baada ya kusikia ni wakiume ukasisimka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Wee jamaa jau sana
 
Kiukweli baada ya kusikia kuwa ni wale jamaa ni wanaume Nilijiona bonge ya fala na Nilifadhaika sana Mkuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilikua nakunukuu vibaya kumbe...πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Daaah pole sana mkuu ndo tupo ulimwengu wa hivi tena....
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilikua nakunukuu vibaya kumbe...πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Daaah pole sana mkuu ndo tupo ulimwengu wa hivi tena....
Umakini unahitajika aisee Mkuu! Mtaani sio poa kabsa
 
bobrisky anaenda kunyea debe miezi 6, afu alivyokichaa anaulizwa mahakamani wewe ni me au ke akasema mimi ni me kabisa, wakamtia gereza la ma me akatoe vzr kiboga
 
bobrisky anaenda kunyea debe miezi 6, afu alivyokichaa anaulizwa mahakamani wewe ni me au ke akasema mimi ni me kabisa, wakamtia gereza la ma me akatoe vzr kiboga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani wamemuonea shoga angu, maana nlikua napenda heka heka zake, ila yule bwana ake mpopo kashindwa kulipa faini?

Shost nae si ana hela? Kashindwa vipi kulipa faini? Bas hapo Somizi anachekea chooni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jaman Bob asikae jelaa, aaah ananiangushaa, cna raha kabisaa leo.
 
Ikiwa atakufa katika hali hiyo ( yaani akafa hajatubia) atadumu motoni na hakika hayo ni mafikio mabaya kabisa.
Tusighuriwe na anasa na udanganyifu wa dunia

Moto upo na hakika Jahannam inangojea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…