Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Huyo sio Bobrisky, we mleta mada acha kuzua taharuki.
Labda huyo ni transgender mwingine.
HahahahahaHahaha. View ya chini inaonesha saa 6 ya juu inaonesha ana bongesa wa mkifuaa umejaa
Juu ya kifua karibu na mabega pamejaa kiume
Cc Smart911
Mleta mada acha utani basiHuyu ni BobRisky wa Nigeria ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike.
View attachment 2947534View attachment 2947535View attachment 2947536
Kati yao Anaetibika nani sasa ankol nawe mbona wanchangaπ ???Huyo anatibika mbona na kurudi kama kawaida..
Ila tuache utani huyo mtoto hapana kwa kweli khaaa...ππππ
Ooooh ndo naigeria hyo.π€π€π€Akidanja anazikwa kama idrissa (asili yake) au atakua bob chaurembo
Mwenzako namnukuu dactar wangu hapa mzizimkavu...Kati yao Anaetibika nani sasa ankol nawewe mbona unanchangaπ ???
Dogo anakwambia bora afe ila sio kumwambia habari za kuwa wa π!
Cc Smart911
Nitumie za Bob riskyHuyo sio Bobrisky, we mleta mada acha kuzua taharuki.
Labda huyo ni transgender mwingine.
Usilinganishe wanaume na machokoHuyu ni BobRisky wa Nigeria ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike.
View attachment 2947534View attachment 2947535View attachment 2947536
Kumekucha π€π€π€View attachment 2947558
Wengine hawa hapa..
PungayeyeIla ujue nini.. mada kama hizi hunoga zaidi akiwepo coca..πππππ
""Kwani wamewakosea nini "" cocas.' said
Nilitaka niseme pia kuwa siyo yeye huyoHuyo sio Bobrisky, we mleta mada acha kuzua taharuki.
Labda huyo ni transgender mwingine.
Mama mzazi anaeleta kiumbe duniani anakufa wakati wa upasuaji lakini pumbavu kama hii ina-survive.