Unaweza kuamini kuwa huyu ni Mwanaume?

Unaweza kuamini kuwa huyu ni Mwanaume?

Haha now hatubishani,tunabadilishana mitazamo,. anyway nitaanza kukwambia Mimi,umeiona movie inaitwa Call Me by Your Name?
No sijaiona, kama ipo Netflix naeza angalia now. Kama haipo nitatafuta namna ya kuipata.

Enhee…
 
Ipo,mwaka 2017 Kuna mtu aliniambia niangalie ilikua mpya,wakati na seek play naona wanaume Wana kiss,I was like WTF man,no homo,Sijui nilikua homophobic au vipi but sikujisikia kuimaliza,but Kuna siku I was so bored nikaiangalia yote
 
Yes, enheee….

Siipati Netflix mbona?
 
Ipo,mwaka 2017 Kuna mtu aliniambia niangalie ilikua mpya,wakati na seek play naona wanaume Wana kiss,I was like WTF man,no homo,Sijui nilikua homophobic au vipi but sikujisikia kuimaliza,but Kuna siku I was so bored nikaiangalia yote
Ila baadaye ukaipenda na kuiangalia yote na inaonekana ukaipenda, anyway sijui hata nilitaka kuandika nini
 
Mea Culpa 😂 (sio nzuri kivilee)

Mi napenda love stories, drama+comedy sijui wewe.
Napenda Sana Love stories drama na comedy,hasa Za Adam Sandler, Nicholas Sparks,.Ila drama zisiwe kuzidi reality..haha hiyo mnaipendea Nini?

Mimi na Tyler Perry mbali mbali labda the haves and the haves not
 
Back
Top Bottom