Unaweza kudhani labda huyu mtoto wa mmoja wa waanzilishi wa Hamas kanunuliwa na Israel, hapana, ni basi tu amekataa kuwa mhanga wa itikadi za kitapeli

Tatizo wagalatia wengi hamna uwezo wa ku reason linapokuja suala la Bwana wenu Israhell,

Ukimsikiliza jamaa, kama yeye anasema alizaliwa eneo linaloitwa Judea( ambayo ni West Bank). Kwanini Wazayuni wanawafukuza hao waliozaliwa hapo?

Mkiacha ushabiki wa kuabudu wazayuni mkaweka ubinadamu mtakua na akili
 

Propaganda uchwara hizo zimeanza leo?

Aibu: Israel na ushahidi wa mchongo Gaza

Hizo si tulishakubaliana wenye kuziamini ni wale wasayuni wa chole, chole huko!
 
Kureason nini

Kwamba mabikra 72 wapo wanatusubiria hahah
 
Naona umefika
Umemsikiliza vizuri huyo mwarabu asilia wa Middle east ????
 
Hamas kamatieni hapo hapo haya maneno ya kwenye kanga tuuu
 
Naam, umeniita?

Tatizo nini?
Jibu hoja za muislamu mwenzako Mosab Hassan Yousef anadai ideology ya Palestine imeanzishwa juzi tu hapa na akina Arafat ila Israel kama taifa la kale lipo miaka na miaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…