Unaweza kufanya mapenzi siku za hatari na usipate mimba?

Unaweza kufanya mapenzi siku za hatari na usipate mimba?

iyo ni 50 50...ila tafuta umu kuna thread ilieleza vizuri na nilivyotesti nikampa mimba kweliii

yani ni ivi siku ya period ukianza ...day 1...after day 14...( danger days ) ukipigwa dudu unaweza au huwezi kupata inategemea na shahawa nguvu zake za kukesha umo,, na viungo na joto la mwanake lipo katika hali gani

ILA UKIBAMIZWA BILA KINGA NA JAMAA AKAPIZI NDANI ( GOLI MOJA AU ZA KUTOSHA )KATIKA DAY 15 after period...NI LAZIMA UPATE UJAUZITO...( kama menstral cycle yako ni normal )
Siku 15 baada ya period!!!
 
kama kuna tatizo la uzazi kati yenu inawezekana, or otherwise it is impossible of not having a preg, to avid doubts take preg test.
 
Duuu hamjawahi kuskia hadithi sijui house boy kampa mimba mama mwenye nyumba wakati hawajawahi fanya mapenzi ?? Kuja kuchunguza kumbe kaogea kopo ambalo jamaa alikua anakamulia nalo punyeto
???????
 
Naomben msaada wenu wanajamii forum inawezekana mtu ukafanya mapenzi siku za hatar na usipate mimba? Matuc ctak km huwez kunipa jbu sahihi unapita hivi!
Ni siku za hatari kama wewe ni mwanafunzi na unategemea wazazi na ni siku za Neema kama wewe umeolewa, na unauwezo Wa kumlea na kumtunza mtoto hata bila msaada Wa baba Wa mtoto
 
Back
Top Bottom