Mkuu,Milioni 400 unaweza kulima heka ngapi za pilipili?Kwa mil400 ningeweza kununua ardhi na kuweka miundombinu ya kudumu ya maji kisha nilime pilipili kichaa naingia mkataba nakuwa main supplier kwenye viwanda vya maji ya kutawanya maandamano. Hili zao likipata matunzo, mpando mmoja huwa na michumo mitatu hadi minne kwa mwaka
Kwa mikoa yenye ardhi kubwa, Kwa kununua kabisa ni Ekari hadi 50, kwa kukodi ni zaidi.Mkuu,Milioni 400 unaweza kulima heka ngapi za pilipili?
Kwa ardhi safi ni 250,000- 500,000 kwa ardhi inayohitaji kusafishwa bei itapungua zaidiHeka 50 inamaana kwa kila heka nitawekeza kama milioni 8 kwa kununua na kulima?Bei ya heka 1 inaweza kuwa shilingi ngapi?
Mkoa wa Tanga hususani wilaya za Handeni na Kilindi. Nazungumzia ekari(70:70)Unafahamu ilipo ardhi hio?Ni hectare au ni acre?
Linalohitaji kusafishwa linaweza kugharimu kiasi gani?
Kwa million 50- 500 najenga lodge nzuri yenye vyumba 25 kwenye miji inayochipukia. Lodge ni fixed assets ya muda mrefuMkuu,
Kuna watu/mtu ambaye wanaohitaji kufanya uwekezaji serious?
Je unaweza kufanya nini ukiwa na access ya Kiasi cha Milioni 50-500?Uwekezaji uwe endelevu,uzalishe ajira,uhifadhi mazingira uzalishe kwa soko la nje na la ndani.
Kama una wazo zuri hapa ndo pahala pake
Kufanya zote au kuchagua kati ya hizo?Kwa harakaharaka hapa kilimo endelevu mseto. Miundombinu ya kisima cha maji, bwawa, stoo ya nyasi, stoo ya pumba na mashudu, nyumba ya wafanyakazi, geto la bosi, kupanda na kuvuna malisho, ng'ombe wa maziwa, kiti moto, sales point ya baadhi ya bidhaa zako. Mbolea itumie kupanda parachichi, papai, pilipili, ndizi mzuzu, n.k. Fanya processing kidogo kutumia hizo raw materials. Orodha ni ndefu.
Sio wa kufugwa ni wa kuvuliwa ziwani au baharini. Kisha unachakata minofu au kuwakausha na kwenda kupeleka sokoni.Mkuu samaki wa aina gani? eneo gani linafaa kwa Ufugaji huo.