Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Kuna tofauti kubwa sana kati ya bia na pombe.
Pombe zote zinazoitwa bia zinatengenezwa na kiwanda cha serengeti sio bia ni pombe.
Pombe nyingi za TBL sio bia. Ni pombe. Isipokuwa Castle lite tu.
Windhok ni bia
Heinken ni bia
Castle lite ni bia
Hizo nyingine hazijatengenezwa kwa pure shahiri. Zinamchanganyiko wa shahiri, mtama, na mahindi. Kwenye pombe nyingine ni kama unakunywa dadii.