Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hahah hapana mbona nipo vereeee..Upo kimya lkni🥺
Hahah hapana mbona nipo vereeee..Upo kimya lkni🥺
NASISI wafuasi wa soda mweleka alimaarufu Safari na Balimi tunakunywa nini!?Bia lazima iwe imetengenezwa kwa shahiri. Kusiwe na mchanganyiko wa mahindi au mtama. Hiyo sio bia.
Lakini wote tunalewa, kwa taarifa tu huko rombo kuna watu wana viwanda wanazifyatua hizo henken na windhok.Kuna tofauti kubwa sana kati ya bia na pombe.
Pombe zote zinazoitwa bia zinatengenezwa na kiwanda cha serengeti sio bia ni pombe.
Pombe nyingi za TBL sio bia. Ni pombe. Isipokuwa Castle lite tu.
Windhok ni bia
Heinken ni bia
Castle lite ni bia
Hizo nyingine hazijatengenezwa kwa pure shahiri. Zinamchanganyiko wa shahiri, mtama, na mahindi. Kwenye pombe nyingine ni kama unakunywa dadii.
Sikuoni mbonaHahah hapana mbona nipo vereeee..
Zote hizo ni pombe. Bia inauzwa world wide. Uwezi kwenda hata hapo kenya ukaulizia serengeti ukapata. Ila ukienda popote duniani ukaulizia whindhok mzigo unapatikana.Kumbuka kuna balimi na kiki
Hmm nipo mbona..Sikuoni mbona
Huyu kawekewa ugoro kwenye pombeHuyu kanywa nini😁😁😁View attachment 3524168
Pombe.NASISI wafuasi wa soda mweleka alimaarufu Safari na Balimi tunakunywa nini!?
Wahuni sio watu.. Ila hii ni kama mjaniHuyu kawekewa ugoro kwenye pombe
si useme mtukuru na komoni kabisaKuna tofauti kubwa sana kati ya bia na pombe.