Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Ndio. Sio pombe ni bia.Kwaiyo beer siyo pombe
Beer ni aina ya pombeNdio. Sio pombe ni bia.
Yaani umelewa bado unaamini umepeleka moto? Huku unayumba yumba kweli pombe sio majiπππKilimanjaro baridi, kitimoto na mjani weeeh. Ukishamaliza hapo nikumpelekea demu moto mkali maamae. Haya ndio maisha.
adriz
Bia lazima iwe imetengenezwa kwa shahiri. Kusiwe na mchanganyiko wa mahindi au mtama. Hiyo sio bia.Beer ni aina ya pombe
Pombe= alcoholic beveragesBia lazima iwe imetengenezwa kwa shahiri. Kusiwe na mchanganyiko wa mahindi au mtama. Hiyo sio bua.
Sawa.Pombe= alcoholic beverages
Kila kinywaji chenye kilevi ni pombe, konyagi ni pombe, beer πΊ ni pombe, wineπ·nI pombe
Huyu kanywa niniπππKuna tofauti kubwa sana kati ya bia na pombe.
Pombe zote zinazoitwa bia zinatengenezwa na kiwanda cha serengeti sio bia ni pombe.
Pombe nyingi za TBL sio bia. Ni pombe. Isipokuwa Castle lite tu.
Windhok ni bia
Heinken ni bia
Castle lite ni bia
Hizo nyingine hazijatengenezwa kwa pure shahiri. Zinamchanganyiko wa shahiri, mtama, na mahindi. Kwenye pombe nyingine ni kama unakunywa dadii.
Huyu atakuwa kanywa pombe. Bia huwezi kufanya hivyo.Huyu kanywa niniπππView attachment 3524168
Hiyo yako π
Kumbuka kuna balimi na kikiHuyu atakuwa kanywa pombe. Bia huwezi kufanya hivyo.
Akhuu!Hiyo yako π
Upo kimya lkniπ₯ΊAkhuu!