Unaweza kufikiri unakunywa bia kumbe unakunywa pombe

Lakini wote tunalewa, kwa taarifa tu huko rombo kuna watu wana viwanda wanazifyatua hizo henken na windhok.
Kwa usalama wa yako kunywa Safari lager, balimi, eagle au plisner hizi hawahangaiki nazo
 
si useme mtukuru na komoni kabisa
 
Hizo kauli zako ndio zinafanya pombe ya Castle Lite kupanda bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…