Unaweza kujenga “Apartment” yenye nyumba tano kwa mchanganuo huu

Black Thought

Senior Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
161
Reaction score
408
Habari wakuu.
Hapa nimeleta mchanganuo wa KuJenga Apartment yenye nyumba Tano (mbili za vyumba viwili, sebule, jiko na Choo na Tatu za chumba kimoja, sebule, jiko na choo)


Tofali za msingi = 2856 (kwa kozi sita)
Tofali za Boma = 5015
Bati (za 0.9m X 3m) = 175 pc

Nime’attach picha yenye sehemu ya mchanganuo huo
Tukichora ramani 𝙏𝙪𝙣𝙖𝙠𝙪𝙥𝙖𝙩𝙞𝙖 𝘽𝙐𝙍𝙀 𝙝𝙚𝙨𝙖𝙗𝙪/idadi 𝙮𝙖 ‘𝙢𝙖𝙩𝙚𝙧𝙞𝙖𝙡’ 𝙮𝙖𝙣𝙖𝙮𝙤𝙝𝙞𝙩𝙖𝙟𝙞𝙠𝙖 𝙠𝙪𝙟𝙚𝙣𝙜𝙖 𝙢𝙥𝙖𝙠𝙖 𝙠𝙪𝙥𝙖𝙪𝙖 itakayokusaidia kujipanga na kwenda sawa na mafundi wakati wa Ujenzi kwenye hatua za awali.

Unaweza kutucheki kwa whatsapp: 0717682856









 

Mpo vizur [emoji1319][emoji1319]
 
Kudos
 
Aisee!
Ila mchanganuo bila kuainisha gharama ni sawa na kupewa ugali bila kitoweo🙄
 

Ingependeza kama ungesema pia kuwa mchoro huo unatosha kwa uwanja wa ngapi kwa ngapi!
 
Kazi nzuri..ila hizo apartments naona zimekaa kiswahili sana..

#MaendeleoHayanaChama
Upo sahihi, Lakini Inategemeana na mahali unajenga mkuu, na ukubwa wa kiwanja pia. Isitoshe hapo ni Nyumba tano tu.
Tushafanya design za namna tofauti hiyo ni sample
 
Aisee!
Ila mchanganuo bila kuainisha gharama ni sawa na kupewa ugali bila kitoweo🙄
Gharama hutegemea mahali unapojenga boss. Tofauti ndogo inaweza kuleta jumla jumla kubwa. Siku zote ukitaka kupata gharama halisi ni vizuri “Quantity surveyor” akakufanyia BOQ kulingana na mahali unajenga.
Lakini hapo unapata idadi ambayo unaweza kujaza gharama zake kulingana na mahali unapojenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…