Black Thought
Senior Member
- Feb 25, 2015
- 161
- 408
- Thread starter
- #21
๐๐พ.Safi sana, inapendeza...
Shukrani boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐พ.Safi sana, inapendeza...
Yaah..kama ni apartments za familia..hizo zimekaa kiswahili sana..hakuna ukuta wakutenganisha..yani zimetazamana sana..jirani anajua kila kitu kinachoendelea kwako.Kwetu watu wanapendelea nyumba independent sio za kurundikana hivyo na kushonana
Imekaa kicommunist. Well, hiyo unaweza kuimodify kidogo kila apartment ikawa na mlango upande wake ili kuongeza privacy. Architect nimemuelewa hiyo nyumba ni kweli ujenzi wake gharama zinapungua hasa tofali.Habari wakuu.
Hapa nimeleta mchanganuo wa KuJenga Apartment yenye nyumba Tano (mbili za vyumba viwili, sebule, jiko na Choo na Tatu za chumba kimoja, sebule, jiko na choo)
Tofali za msingi = 2856 (kwa kozi sita)
Tofali za Boma = 5015
Bati (za 0.9m X 3m) = 175 pc
Nimeโattach picha yenye sehemu ya mchanganuo huo
Tukichora ramani ๐๐ช๐ฃ๐๐ ๐ช๐ฅ๐๐ฉ๐๐ ๐ฝ๐๐๐ ๐๐๐จ๐๐๐ช/idadi ๐ฎ๐ โ๐ข๐๐ฉ๐๐ง๐๐๐กโ ๐ฎ๐๐ฃ๐๐ฎ๐ค๐๐๐ฉ๐๐๐๐ ๐ ๐ ๐ช๐๐๐ฃ๐๐ ๐ข๐ฅ๐๐ ๐ ๐ ๐ช๐ฅ๐๐ช๐ itakayokusaidia kujipanga na kwenda sawa na mafundi wakati wa Ujenzi kwenye hatua za awali.
Unaweza kutucheki kwa whatsapp: 0717682856
View attachment 2233313
View attachment 2233315
View attachment 2233316
View attachment 2233317
View attachment 2233318
Nani anataka kusongamana hivyo? Bora zingekuwa na milango sidea tofautiKazi nzuri..ila hizo apartments naona zimekaa kiswahili sana..
#MaendeleoHayanaChama
Watu wanaongea tu nyumba design zipo kibao na zinapendwa sana na wapangaji.Hizo sio za kuishi kibongobongo,
Ni za Biashara, na uzijenge maeneo yenye usalama kama Mikocheni, Msasani, n.k
Unakuwa unakula hela ya ma expert wanaoshi bongo kwa kazi za contractor...
Kodi unakula kwa dola,
sasa mnawaza uswahili, unategemea ulete mkeo na watoto na ndugu kibao mjazane kwenye hivi viota....
Uswahili mnauleta nyinyi wakazi sio design ya nyumba. Apartments zimejaa ushuani na hakuna uswahili ILA zikija uswahili ndio zinakuwa na uswahili.Yaah..kama ni apartments za familia..hizo zimekaa kiswahili sana..hakuna ukuta wakutenganisha..yani zimetazamana sana..jirani anajua kila kitu kinachoendelea kwako.
#MaendeleoHayanaChama
Design ni inafanyika kwa kushauriana na mteja husika. Na mteja ndio mwenye vision ya biashara yenyewe. Naelewa ishu ya privacy lakini inatemeana na mahali unapojenga.Imekaa kicommunist. Well, hiyo unaweza kuimodify kidogo kila apartment ikawa na mlango upande wake ili kuongeza privacy. Architect nimemuelewa hiyo nyumba ni kweli ujenzi wake gharama zinapungua hasa tofali.
๐๐พ Boss.Uswahili mnauleta nyinyi wakazi sio design ya nyumba. Apartments zimejaa ushuani na hakuna uswahili ILA zikija uswahili ndio zinakuwa na uswahili.
Weka estimations za gharama kwa Dar kiongozi. Ila pia ungeweza kuona kama contemplary inaweza fanya vizuri zaidiHiyo kama ilivyo Kiwanja kuanzia mita 18 kwa 30 boss
Contemporary gharama zinashukaWeka estimations za gharama kwa Dar kiongozi. Ila pia ungeweza kuona kama contemplary inaweza fanya vizuri zaidi
Hiyo Ramani ilichorwa kwa mahitaji ya mteja husika boss. Sio rahisi kutengeneza option nyingine kwaajili ya kuonesha tu. Ila kama ikihitajika itafanyikaNzuri mkuu, ila nadhani mngeweka option mbili za mapaa kwa maana ya hizo za kawaida na contemporary...
Si uhakika kwamba itapungua, ukijichanganya inaweza kutumia pesa Zaidi kwenye contemporary kuliko traditional
๐๐ kazi kwelikweli boss. Huku wajuaji ni wengi sana.Motivational speakers bana.
Hizo Appartment kwenye mchoro kuishi mtu asiependa uswahili yahitaji moyo.
Wachoraji muwe mnawashauri wateja wenu wanapotaka ramani hasa za appartment wazingatie Privacy kati ya mtu na mtu.
wenye nyumba wengi siku hizi wanajenga nyumba za wapangaji kama mabanda ya kuku hawafikirii vitu vingi sana.
wanashindwa elewa hapa zinakuja ishi familia tofauti zenye tabia tofauti,nk.
shida kuu si kwa wenye nyumba bali ni nyie wachoraji ramani na mafundi mnafanya tuu ilimradi mle pesa.
Mshauri mtu kabla hujamfanyia kazi mueleze faida na hasara za kujenga appartments zilizokaa kama mabanda ya nguruwe,heri akuone una complicate mambo ila siku 1 atajua thaman na ubora wa kufanya kazi na wewe.
Usikubali kufanya kazi mbovu kisa mteja kataka,jifunzeni kusema HAPANA,HAIWEZEKANI msiangalie PESA tu.