Unaweza kujisajili kufanya mtihani wa kidato cha sita huku unatafuta credit moja ya O-level?

Unaweza kujisajili kufanya mtihani wa kidato cha sita huku unatafuta credit moja ya O-level?

og master plan

New Member
Joined
Aug 18, 2018
Posts
2
Reaction score
1
Wadau naomba kuuliza.

Unaweza kujisajili PC ya five na six kwa mwaka mmoja na wakati huo huo umejisajili kutafuta credit ya physics? Olevel?
 
Wadau naomba kuuliza.

Unaweza kujisajili PC ya five na six kwa mwaka mmoja na wakati huo huo umejisajili kutafuta credit ya physics? Olevel?
inawezakana. ila kama unaenda kufanya masomo ya sayansi utapata division 0. kwa masomo ya sayansi muda wa miaka miwili ni michache sana, sasa wewe unataka kufupisha zaidi, utaita maji mmah.
 
Back
Top Bottom