og master plan New Member Joined Aug 18, 2018 Posts 2 Reaction score 1 May 21, 2023 #1 Wadau naomba kuuliza. Unaweza kujisajili PC ya five na six kwa mwaka mmoja na wakati huo huo umejisajili kutafuta credit ya physics? Olevel?
Wadau naomba kuuliza. Unaweza kujisajili PC ya five na six kwa mwaka mmoja na wakati huo huo umejisajili kutafuta credit ya physics? Olevel?
G GOSSO MZEKEZEKE Senior Member Joined Dec 13, 2013 Posts 180 Reaction score 204 May 22, 2023 #2 og master plan said: Wadau naomba kuuliza. Unaweza kujisajili PC ya five na six kwa mwaka mmoja na wakati huo huo umejisajili kutafuta credit ya physics? Olevel? Click to expand... inawezakana. ila kama unaenda kufanya masomo ya sayansi utapata division 0. kwa masomo ya sayansi muda wa miaka miwili ni michache sana, sasa wewe unataka kufupisha zaidi, utaita maji mmah.
og master plan said: Wadau naomba kuuliza. Unaweza kujisajili PC ya five na six kwa mwaka mmoja na wakati huo huo umejisajili kutafuta credit ya physics? Olevel? Click to expand... inawezakana. ila kama unaenda kufanya masomo ya sayansi utapata division 0. kwa masomo ya sayansi muda wa miaka miwili ni michache sana, sasa wewe unataka kufupisha zaidi, utaita maji mmah.