Miaka minne bila kugegeda wee sio mzimaUwaga saikolojia yangu inajiset yenyewe kama nipo kwenye mahusiano siwezagi kukaa siku tatu bila kulala au kushiriki tendo na niliye naye kwenye mahusiano
Ila kama sitakuwa kwenye mahusiano naweza kukaa hata miaka minne na nimeshawahi kukaa kipindi hicho ila sikuwaga kwenye mahusiano
Ni vilee settng tu za brain zipo comfortably kiasi gani?