Aizn
JF-Expert Member
- Dec 14, 2022
- 2,172
- 4,196
Ni kweli kabisa.
Upo na jinsia tofauti pembeni faragha lazima mawazo yaje kulingana na mazingira.
So kustahimili kwa mda gani inategemea na mzaingira unayojiweka
Pengine nipo tanzania sometimes nasafiri kwenda nchi tofauti na Tanzania na nalazimika kukaa kipindi kirefu