Unaweza kukaa muda gani bila mapenzi/mpenzi?

Unaweza kukaa muda gani bila mapenzi/mpenzi?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] we naona hizi issue hazikuhusu kabisa, hongera Mungu kakuepushia mengi. Najiuliza tu, una hobby gani sasa..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kusafiri

Asante kwa kweli yakijadiliwaga mambo ya ngono hata mimi huwa naona hayanihusu kabisa, si kwamba ni mtakatifu nina Dhambi zangu nyingine kama ulevi, ila hii ya uzinzi nashukuru imenipitia kushoto na imeniepusha na mengi [emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom