Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Kwamba nikiulizwa nini Eroni?[emoji2]Haha, Maki huyu mtoto inabidi atoe siri ya mafanikio yake.
Hili swali ukiulizwa unaweza kutoa jibu gani?[emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba nikiulizwa nini Eroni?[emoji2]Haha, Maki huyu mtoto inabidi atoe siri ya mafanikio yake.
Hili swali ukiulizwa unaweza kutoa jibu gani?[emoji16][emoji16]
Ila wakubwa hawaulizani haya maswali ujue. Sijui hata nilifikaje hapa😁😁Kwamba nikiulizwa nini Eroni?[emoji2]
Yeah ukishajijua uko hivo unakuwa single tu, uwe na mtu wa kazi gani wakati unajua kabisa utakuwa humpi haki yake, huo ni ubinafsiManake kama kaboy kapo si unakatesa tu jamani...
Nimeshangaa sana...Ila wakubwa hawaulizani haya maswali ujue. Sijui hata nilifikaje hapa[emoji16][emoji16]
Mintakaa alone hadi pale utakapo nikubali wewe...🤗kwakweli 😊😂😂,, hujasema mkuu wewe unaweza kukaa miaka mingapi 😊😊
Endelea kuwa na unrealistic expectations, ukitafuta a tall, rich dark & handsome man Abigail NabalMie naelekea 7 years
Nina mwezi yangu mitano na ninasurive vizuri,Ni kwa muda mrefu kiasi gani unaweza kukaa bila mpenzi ama kutojihusihsa na mapenzi?
Unafanya nini kistahimili mda mrefu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watakuja kukushukia kama mwewe...bora ukimbie mapemaTusio wahi fanya kabisa, tuna comment wapii??
[emoji23][emoji23][emoji23]
aisee😃😃😃😃Mintakaa alone hadi pale utakapo nikubali wewe...🤗