Unaweza kukaa muda gani bila mapenzi/mpenzi?

Miaka minne bila kugegeda wee sio mzima
 
Ni kweli kabisa.
Upo na jinsia tofauti pembeni faragha lazima mawazo yaje kulingana na mazingira.

So kustahimili kwa mda gani inategemea na mzaingira unayojiweka
 
Miaka minne bila kugegeda wee sio mzima
Kasema inategemea na mazingira.we uko busy shamba unafukuza nyani,unawaza gunia zako 5000 utazovuna..
Ni tofautia na anaeshinda bar full wanawake waliovaa kimitego au uko ndani kila siku uko na mke..
So mawazo ya kufanya yatakujia depending na mazingira unayojiweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…