YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Countrywide [emoji23][emoji23]
Ndugu yangu hupendi amani, unamuita wa nini lakini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Countrywide [emoji23][emoji23]
Huo upwiru ukiguswa si unaeza zimia
Nimemjibu huyovipi kuhusu kupata watoto, kuishi na mume?? ukinijibu hapa ntakua nimeelewa Abigail Nabal
Nawe umeamini[emoji4][emoji4][emoji4]akikujibu nitag tafadhali.... we ke mwenzake anaeza funguka mimi kaniambia ametokea parokiani
[emoji849][emoji849]Mimi nikipitisha siku 5 mniite mbwa niko palee [emoji117]
So jadda huvutiwi kabisa na wanaume?Yes maana hilo neno Linaendelea ni LGBTQIA so hiyo A hapo ndio Asexual, nimegundua tatizo watu wengi hatuna elimu na uelewa wa haya mambo ya sexual orientation, wengi wetu tunaongea tu kwa mihemko
Kumbe six months tu, mleta mada kasema 7yrs..hahaha. Kama kuna kombe hapo sawa, ila kuutesa mwili kwa kukaa six months ili iweje sasaNa uwezo wakukaa hata 6month Ila upweke wake sio Poa....
Mmmh mbona kujiumiza3 - 4 yrs
Wewe huyo au kuna mtu unamsemea 😂Hapana upwiru unafunikwa na damu ya Yesu
Aje ajionee ulivyo mvumilivu na ulivyoyulia na kujitunza 😅Ndugu yangu hupendi amani, unamuita wa nini lakini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nawe umeamini?Kumbe six months tu, mleta mada kasema 7yrs..hahaha. Kama kuna kombe hapo sawa, ila kuutesa mwili kwa kukaa six months ili iweje sasa
Kumbe mleta mada unachangamsha genge huku ukitaka sisi tufunguke, huendi mbinguni hakyanani.Nawe umeamini?
We unaweza?Kumbe mleta mada unachangamsha genge huku ukitaka sisi tufunguke, huendi mbinguni hakyanani.
Kila mtu kafunguka kwa namna yake, wa kusema kweli au kudanganya ni Abigail, akidanganya anajidanganya tu coz hatuwezi kufanya proof yoyote.We unaweza?
Je kama kweli utajuaje[emoji4][emoji4]
Una uhakika[emoji38][emoji38]tangu mwaka uanze sijachakata