Unaweza kukaa muda gani bila mapenzi/mpenzi?

Unaweza kukaa muda gani bila mapenzi/mpenzi?

Vyakula tunavyokula kila siku vinachangia pamoja na lifestyle ya mtu kama mtu hayuko kwenye mahusiano anaweza kupotezea muda mrefu kwa kujikip busy aidha kwa kufanya mazoezi mara kwa mara na diet mpaka atakapopata mwenza.
 
Back
Top Bottom